Kwenye red hapo, jibu ni: Kujua kama ni pesa zetu zilizoibwa!mna majungu humu ukisha mjua mwenyewe itakusaidia nini??
Kwenye red hapo, jibu ni: Kujua kama ni pesa zetu zilizoibwa!
Hapo kwenye red, ukishajua kuwa ni pesa zenu zilizoibwa, what next?
find something better to write!! wewe ndio ulipita masaki, wewe ndio uliona jengo, wewe mwenyewe uka monitor na kuona jinsi vibao vya construction details jinsi vinavyobadilika sasa unataka tukujuze nini? go to the construction company n ask alafu tuletee jibu. how jk`s or mrisho`s do u know¿¿¿ juma kassim mrisho....go to hell¡¡¡¡
Masaki kuna jengo moja kubwa linajengwa ghorofa 7, kibao cha client mwanzo kiliandikwa JK, wiki mbili sasa kimebadirishwa kinasomeka MRISHO. Ni Mrisho Mpoto au? tunaomba msaada kutoka kwa wahandisi je ni sawa kuandika vifupisho vya majina?