Naomba msaada kuhusu huyu mpenzi

Naomba msaada kuhusu huyu mpenzi

huyu jamaa atakuwa kapata division four halafu anasubiri kujiunga form five,maana ndo akilizao hawa...
 
huyu jamaa atakuwa kapata division four halafu anasubiri kujiunga form five,maana ndo akilizao hawa...

Nashukuru mkuu hata ukinitukana vipi huwezi kufananisha na machungu,majonzi niliyonayo moyoni!
MJINGA NI MIMI!
 
maumivu hata kwa mtu usiyomjua? Hiyo inakuwaga kidogo tu na siyo mpaka tukupe maushauri hapa ya kuponya hayo maumivu. Just give it 2 days

Namba inaniumiza akili!
Natamani kuuza simu!
 
bora zama zetu za kuandikiana ujumbe katika katani, barua pamoja na stika...

kizazi hiki nomaaa sana
 
Tatizo sijui ana nini! Tulichat sana tu tukakubaliana ghafla akabadilika na kusema kua naomba tuachane!
Ndio maana nikamuomba bora tuonane nikidhani huenda labda akabadili msimamo lakini naona kama nalazimisha sasa!
Kinachoniuma ni ile hela yng niliyomuhonga tu!

teheeee
kumbe kilio ni kutokana na sentensi ya mwisho.

by the way.. hebu tuwekee kapicha kake walao tumwone beibeee
 
me nilikwambia usiende kumbe ulienda aahahahahahaaaaa pole sana aisee
 
me nilikwambia usiende kumbe ulienda aahahahahahaaaaa pole sana aisee

Asante nitapoa!
Ila bora nilivyoenda nikakosa,
Ingawa wanawake mnajuana tabia zenu!
Sasa hajibu sms wala simu!
 
Namba inaniumiza akili!
Natamani kuuza simu!
uuze kisa nini? Hivi hayajawahi kukukuta makubwa ndo maana waumiza kichwa kwa kitu kdogo. Watu wanakuwa na ma x kama 6 na habadili mtu namba sembese wewe ndo kwanza mlikuwa mnaanza jamani. We jipe muda kidogo utakuwa poa, haipiti siku tatu utakuwa poa
 
Sawa nashukuru kwa ushauri wako mzuri.
Asante sana!
 
Mbali nakuwa na mods inabidi tuwe na JF Chief Whip sasa, mada za kitoto toto zimejaaa, mara nani kamnyang'anya nani pipi,mgh...
 
Nakushukuru sana kwa ushauri wako unanipa nguvu ya kukabiliana na yaliyotokea!

Naomba nishauri kitu kimoja;-
Njia ya kusahau namba yake kila nishaifuta ila imeganda kichwani!
hakuna njia ya kusahau kitu ambacho tayari kipo kwenye akili yako ni wewe mwenywe tu kuji control mpaka itakapofutika yenyewe kwenye kichwa, umeshawahi kuwa na gf before au huyu ndo wa kwanza?
 
flash back!,,,
mwanamke haulizw kama ana boy frend uo nmi ukanjanja,,kwan we unakua unamtaka bf wake au yy,,,unamgegeda ayo mengne yatajulikana!!,,
wanawake wenyew awa wa ck iz magumash ukijifanya serius wanakuchinjia ziwan ukoo,,,,
we mwambie nataka NIKUGEGEDE tena kwa saut kavuu
 
hakuna njia ya kusahau kitu ambacho tayari kipo kwenye akili yako ni wewe mwenywe tu kuji control mpaka itakapofutika yenyewe kwenye kichwa, umeshawahi kuwa na gf before au huyu ndo wa kwanza?

Niliwahi kua nae kama miaka minne iliyopita.
 
flash back!,,,
mwanamke haulizw kama ana boy frend uo nmi ukanjanja,,kwan we unakua unamtaka bf wake au yy,,,unamgegeda ayo mengne yatajulikana!!,,
wanawake wenyew awa wa ck iz magumash ukijifanya serius wanakuchinjia ziwan ukoo,,,,
we mwambie nataka NIKUGEGEDE tena kwa saut kavuu

Mh bandugu!
Kweli kabisa kumuuliza kama ana boyfriend nilikosea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom