Tatizo sijui ana nini! Tulichat sana tu tukakubaliana ghafla akabadilika na kusema kua naomba tuachane!
Ndio maana nikamuomba bora tuonane nikidhani huenda labda akabadili msimamo lakini naona kama nalazimisha sasa!
Kinachoniuma ni ile hela yng niliyomuhonga tu!
Ulimuhonga hela ya nn sasa? Ili akukubali au?
Yaliyokukuta, kazi uliyoifanya ni kubwa mwishoni mambo yameharibikaNini tena!
Nilitegemea hivyo!
Ingawa alikataa lakini alipokea!
Naijutia sana ile hela, nilimwambia atanunua hata vocha, lakini sasa hata nikimpigia mimi hapokei!
Sijui niifute namba yake?
Lakini nimeihifadhi kichwani!
...... hivi selection za kujiunga kidato cha tano bado tuuu?nenda shule kijana umri badoNilipewa namba ya msichana na rafiki yangu mmoja, nilichat nae kwa muda mrefu hadi tukawa wapenzi.
Kipindi cha karibuni nilimuuliza kiutani kama aliwahi kua na Boyfriend akawa hataki kunijibu, lakini niliamua kumsisitizia swali hilo hadi akaamua kuniambia kua ni kweli anae na akaniambia "NAOMBA TUACH
Nilipomuuliza kwanini akanambia kwasababu kuna mtu ANAMPENDA kama vile mimi ninavyompenda yeye.
Nilichoamua kumuomba ni mimi kuonana na yeye ukichukulia ni kama mwezi mmoja tangu tufahamiane.
Kakubali tuonane kesho lakini nimebaki na mawazo ni vitu gani hasa natakiwa nivifanye;-
1)Kwasababu hatujawahi kuonana nianze kumtongoza upya?
2)Nianze kwa kumbembeleza asiniache?
3)Hakuna jipya litakalotokea bora nisiende nitazidi kuumia moyo tu!
Naombeni mnipe ushauri jamani nimechanganyikiwa!
Yaliyokukuta, kazi uliyoifanya ni kubwa mwishoni mambo yameharibika
Nakushauri bora uachane nae, asije akakuletea matatizo huko mbeleni muendako
Na kama alivyokuambia kistaarabu muachane, nimependa kwa alivyo muwazi, naomba usiwe king'ang'anizi
Mdogo wangu achana na huyo dada kama unaipenda nafsi yako, utampata tu mwingine atakae kufaa
Primium advice: 1-Piga pamba zako nzuri znazokufit tuliza munkari na woga
2- Nenda kamface (kamuso) kuongeza uzwefu wako wakumeet na stranger halafu jiandae kupigwa nyundo ya kichwa (kuachwa kwenye mataa ya ubungo) kisha relax.
3- mkikutana pima kwanza kwa mbaali kama ni wa level zako au yupo nje i.e juu ya level yako au chini
3. kama yupo chini utulize boli ni wako
4. kama yupo juu ni chalenge nyingine kwako kuweza kumvuta muwe level moja
5. go face your chalenge
Hivi unmemuona huyo demu mwenyewe kwanza?
Ndege tunaofanana tunaruka pamoja!
Nilipewa namba ya msichana na rafiki yangu mmoja, nilichat nae kwa muda mrefu hadi tukawa wapenzi.
Kipindi cha karibuni nilimuuliza kiutani kama aliwahi kua na Boyfriend akawa hataki kunijibu, lakini niliamua kumsisitizia swali hilo hadi akaamua kuniambia kua ni kweli anae na akaniambia "NAOMBA TUACHANE".
Nilipomuuliza kwanini akanambia kwasababu kuna mtu ANAMPENDA kama vile mimi ninavyompenda yeye.
Nilichoamua kumuomba ni mimi kuonana na yeye ukichukulia ni kama mwezi mmoja tangu tufahamiane.
Kakubali tuonane kesho lakini nimebaki na mawazo ni vitu gani hasa natakiwa nivifanye;-
1)Kwasababu hatujawahi kuonana nianze kumtongoza upya?
2)Nianze kwa kumbembeleza asiniache?
3)Hakuna jipya litakalotokea bora nisiende nitazidi kuumia moyo tu!
Naombeni mnipe ushauri jamani nimechanganyikiwa!