HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Nisamehe mkuu, jana kimeo ninachotumia kilikuwa kinasumbua sana, hata mtu akiniquote nilikuwa sipati taarifa hadi niotee kwa kuingia kuingia kwenye postNakulaumu kwanini umechelewa kunipa ushauri huu tangu mapema?
Yote uliyoandika ndio yametokea aisee TAWIRE!