Naomba msaada kuhusu huyu mpenzi

Naomba msaada kuhusu huyu mpenzi

Kesho jipili panga ratiba ya church pepo la ngono likuache
 
Hujawai kumwona angalia usije ukapewa vibaya zaidi! Kashakwambia ana mtu bado unang'ang'ania nn?? Potezea!!!!
 
Kiswahili hicho baba mlikuwaje wapenzi wakati mwenyewe unasema hamjawahi onana?,Halafu inaonesha wewe ni muoga ilembaya unachohofia ni nini? unajipanga kutongoza wakati hatasura yake huijui utamkuta yuko tofauti na unavyotarajia kaka onananae kwanza ukiridhika jinsialivyo ndouwe na uhakika na unachokusudia usikurupuke dogo mambo mazuri hayataki haraka umenisoma?
 
Nilipewa namba ya msichana na rafiki yangu mmoja, nilichat nae kwa muda mrefu hadi tukawa wapenzi.

Kipindi cha karibuni nilimuuliza kiutani kama aliwahi kua na Boyfriend akawa hataki kunijibu, lakini niliamua kumsisitizia swali hilo hadi akaamua kuniambia kua ni kweli anae na akaniambia "NAOMBA TUACHANE".

Nilipomuuliza kwanini akanambia kwasababu kuna mtu ANAMPENDA kama vile mimi ninavyompenda yeye.

Nilichoamua kumuomba ni mimi kuonana na yeye ukichukulia ni kama mwezi mmoja tangu tufahamiane.

Kakubali tuonane kesho lakini nimebaki na mawazo ni vitu gani hasa natakiwa nivifanye;-

1)Kwasababu hatujawahi kuonana nianze kumtongoza upya?
2)Nianze kwa kumbembeleza asiniache?
3)Hakuna jipya litakalotokea bora nisiende nitazidi kuumia moyo tu!

Naombeni mnipe ushauri jamani nimechanganyikiwa!

nina uhakika mkuu unasehemu zingine za kuwekeza hizo jitihada zako kwa mwingine kutokana na idadi ya wadada kuwa kubwa kuliko wakaka..yani ratio scale outbalance...
sasa imagine amekukubalia wewe...alafu mfano tu namimi nikabahatika kupata namba yake, nikamsumbua ndani ya wiki mbili tu>>>unadhani namimi sitokuja apa kuomba ushauri nimfanyeje uyo cheche
 
Usiende ndugu unaweza ukajutia kukutana nae na ukzngatia kama humfahamu hata sura ndio itakuwa tatizo hahahahaaaa ucje ukakutana na mwanaume mwenzio
 
Usiende ndugu unaweza ukajutia kukutana nae na ukzngatia kama humfahamu hata sura ndio itakuwa tatizo hahahahaaaa ucje ukakutana na mwanaume mwenzio

Nimeenda jamani leo tumeongea ila tatizo msimamo wake hataki kuubadili!
 
Unapoomba kuna majibu mawili kukubaliwa au kukataliwa,
Huenda katika nawasiliano yenu kaona huna vigezo anavyotafuta hivyo kaamua kuuvunja uhusiano.

Aliamua tuachane ila alitaka kuniona kwanza, sasa tumeonana ila kanambia atanifikiria!
 
Mapenzi bana! Hayaaaa endeles na mchkt wk!
 
wewe ulikuwa unamuuliza ukitegemea nini!!
 
Uuupsi kwa hiyo wewe unajpa moyo utakupenda ..worry out wait umeme gridi kuu ukikatika atakukuhitaji wewe jenereta
 
Sina nia hiyo kwa sasa wala baadae!

Bas kajiunge na obama's law ,et huna mpango huo hata baadae ,mgonjwa ww,kwaiyo ww hutaki sikia kale kaharufu ka k asubuh asubuh kanavonuka ka mkojo kwa mbaliii
 
Sirm hadi muda huu upo naye?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom