kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,822
Account ya WhatsApp inakataa kuweka profile photo, inaandika couldn't load try again ukijaribu inaandika hivyo hivyo, network ipo 3g na ipo vizuri kabisa, nimewahi kuuninstall na kuinstall tena lakin ikakataa vile vile kama mwamzo, you tube inaenda vizuri kabisa kifupi hakuna shida ya network , msaada wataalamu shida nini hapa??