Queenever
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,051
- 3,008
SaNikuulize swali umewah kuongia kwenye word ya wagonjwa wa tb??
Chumba cha dactar anaruhusiwa kuingia mgojwa wa TB na doctor huwa anakuwa katka mavaz ya kawaida, mbona hakuna dactr aliye wahi kulalamika kuwa wagonjwa wa TB wanatuambukiza TB????
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hapa unakubalina nami au