Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

Geita ni Kaskazini?
Hapana,ni kusini...
acheni tabia za kuomba omba,mnajidhalilisha tu,sasa nani atawapa pesa,kwa maelezo ya kibwege kama hayo?
acheni kujitia aibu kwa wanaume kuwa ombaomba,...
 
Watu ambao wana magojwa ya kupelekea kinga ya mwili kushuka ndio, rahis kupata TB

Ila kwa mtu mwenye afya yake na anachimba mgodin hyo kitu haipo.

Ukitaka uamin.

Wodi ya wagojwa wenye TB watu wanaingia kawaida na kutoka, hata dactar akiwa anaongea na mgojwa wa TB anakaa nae hapa na hapa
wala haitaji kuwa na mask
manengelo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wala haitaji kwa na mask

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha t.b no kwa walioathirika tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana,ni kusini...
acheni tabia za kuomba omba,mnajidhalilisha tu,sasa nani atawapa pesa,kwa maelezo ya kibwege kama hayo?
acheni kujitia aibu kwa wanaume kuwa ombaomba,...
Hujajibu swali,Geita ni kaskazini?
 
Watu ambao wana magojwa ya kupelekea kinga ya mwili kushuka ndio, rahis kupata TB

Ila kwa mtu mwenye afya yake na anachimba mgodin hyo kitu haipo.

Ukitaka uamin.

Wodi ya wagojwa wenye TB watu wanaingia kawaida na kutoka, hata dactar akiwa anaongea na mgojwa wa TB anakaa nae hapa na hapa
wala haitaji kuwa na mask
manengelo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni magonjwa gani yanapelekea Immunity kushuka mbali na AIDS?
 
Watu ambao wana magojwa ya kupelekea kinga ya mwili kushuka ndio, rahis kupata TB

Ila kwa mtu mwenye afya yake na anachimba mgodin hyo kitu haipo.

Ukitaka uamin.

Wodi ya wagojwa wenye TB watu wanaingia kawaida na kutoka, hata dactar akiwa anaongea na mgojwa wa TB anakaa nae hapa na hapa
wala haitaji kuwa na mask
manengelo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Daktar, ndugu yangu alifungwa gerezan, na uko akapatwa na TB sababu tu vyumba vile havina hewa ya kutosha na walalo umo ni wengi!!!

Hii imekaaje
 
Watu ambao wana magojwa ya kupelekea kinga ya mwili kushuka ndio, rahis kupata TB

Ila kwa mtu mwenye afya yake na anachimba mgodin hyo kitu haipo.

Ukitaka uamin.

Wodi ya wagojwa wenye TB watu wanaingia kawaida na kutoka, hata dactar akiwa anaongea na mgojwa wa TB anakaa nae hapa na hapa
wala haitaji kuwa na mask
manengelo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yangu, Ambaye naye ni MD moja ya hosp yamkoa .

Aliambukizwa TB ktk wodi hilohilo la wagonjwa wa TB???

Nani kasema wodi ya wagonjwa wa TB watu huingia tuuuu ??????. Anakaaa hapa napale.??

Ulishaona wagonjwa sugu wa TB wanavoishiwa ktk mahosp yetu??????
 
Hahahhaaaaaa Ni sawa kama alipakwa makohoz bila kujua, na yeye labda kinga yake ya mwili ili shake.

But pia ukikaa waka kukoholea sana hao wagojwa unaweza pata.
Kaka yangu, Ambaye naye ni MD moja ya hosp yamkoa .

Aliambukizwa TB ktk wodi hilohilo la wagonjwa wa TB???

Nani kasema wodi ya wagonjwa wa TB watu huingia tuuuu ??????. Anakaaa hapa napale.??

Ulishaona wagonjwa sugu wa TB wanavoishiwa ktk mahosp yetu??????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malnutrition hupelekea kinga ya mwili kushuka,
Pia wanao ishi na HIV pamoja na TB wapo magerezan pia, kwahyo hao ndio walisukumia vijidudu ya TB

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yako haraka haraka unamanisha ili upate TB nilazima uwe Immunocompromised.

Yaaan mimi hapa na uzima wangu wa Afya, nikiwa exposed kwa huyu mdudu sitopata TB mpaka kinga ilegee!!??
 
Back
Top Bottom