Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito


mwenye shamba

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
822
Likes
952
Points
180
mwenye shamba

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
822 952 180
Habari wana jukwaa.
Ni imani yangu mu wazima wa afya.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada

Mimi in kijana mwenye umri wa miaka 26, naishi Geita kijiji kinaitwa lwamgasa.

Nilikuwa nikifanya kazi kwenye migodi midogo ya dhahabu(ikumbukwe Mara nyingi tunafanya kazi kwenye mazingira hatarishi mfano vumbi, mwingiliano wa watu na urahisi wa kuambukizana magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa kama T.B).

Hivyo nilijikuta nimeambukizwa T.B,awali nilianza kukohoa taratibu, mwili ukawa unakosa nguvu na joto Kali wakati was usiku.

Hali hiyo ilidumu kwa muda wa miezi miwili na haikuathiri sana utendaji kazi wangu kwani nilikuwa nikienda kwenye dispensary napimwa na kupewa tu dawa za kuzuia kikohozi na mafua

Hali ilibadilika usiku wa tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka ambao tumeuaga Jana kwani nilikohoa mabonge ya damu, ikabidi niende hospitali ya mkoa ndipo wakabaini nina ugonjwa wa kifua kikuu.

Nilianzishiwa dozi ya vidonge vinne kwa siku kwa muda wa miezi miwili kabla ya kubadilishiwa dozi ya miezi minne ya mwisho

Nilizuiliwa kufanya kazi ngumu, ikumbukwe kuwa maisha yangu yamejikita zaidi kwenye kazi ngumu kama kulima na uchimbaji wa madini.

Hivyo kiasi kidogo kilichokuwepo kama akiba nilimpa mke wangu aongezee kwenye biashara yake ya genge.

Kwa bahati mbaya sana mke wangu alikuwa mjamzito, pia nae nilimwambukiza hiyo T.B, ufanisi kwenye biashara ukapungua na mwisho akaacha.

Kukatisha urefu wa mada,nimejitokeza hapa kuhitaji msaada japo niweze kuhudumia familia yangu kwa huu mwezi mmoja wa matibabu uliosalia ili nisiitese familia yangu.

Nahitaji msaada wa laki moja ili ninunue chakula nikiwa nasubiri kumaliza dozi ili noendelee na kazi, akiba yangu imeniishia na mke ni mjamzito.

Kwa atakaye guswa 0755322031.

Cc @skyeclat Mshanajr Nifah GENTAMYCINE Jambazi @kassie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho,

Nimepata msaada kutoka kwa msamalia humu humu,kanitumia sh elfu 12,bado nahitaji msaada wenu
 
mwenye shamba

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
822
Likes
952
Points
180
mwenye shamba

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
822 952 180
Mkuu mimi nilikua nakaa na mgonjwa wa tb nyumba moja mbona hakuniambukiza?

Wew imekuaje ukaambukizwa?

Kwa mama mjamzito sawa inaweza mpata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nakohoa pasipokutumia dozi hivyo nikajikta tayari nimemwambukiza,yaani nikifanya kazi ngumu mwili unakosa balance kabisa na kwa sasa sina kitu KBS,nisaidi kwa chochote ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
4,034
Likes
5,591
Points
280
LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
4,034 5,591 280
Ulipimwa na Upungufu wa Kinga Mwilini?
pia watu wa kaskazini acheni kujidhalilisha na kuomba omba pesa mitandaoni,inaweza ikawa kweli una shida ukaishia kuonekana tapeli tu,haiwezekani ukakosa ndugu,majirani au hata marafiki hadi uje humu uombe kwa watu usowafahamu,kuna kitu unakosea sana,jitafakari...
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
1,818
Likes
1,806
Points
280
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
1,818 1,806 280
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
1,818
Likes
1,806
Points
280
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
1,818 1,806 280
Hivi geita kuna nini mbona nasikia taharifa mbaya mbaya kuhusu geita leo zaid ya 5.
Ulipimwa na Upungufu wa Kinga Mwilini?
pia watu wa kaskazini acheni kujidhalilisha na kuomba omba pesa mitandaoni,inaweza ikawa kweli una shida ukaishia kuonekana tapeli tu,haiwezekani ukakosa ndugu,majirani au hata marafiki hadi uje humu uombe kwa watu usowafahamu,kuna kitu unakosea sana,jitafakari...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
1,818
Likes
1,806
Points
280
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
1,818 1,806 280
mwenye shamba

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
822
Likes
952
Points
180
mwenye shamba

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
822 952 180
Ulipimwa na Upungufu wa Kinga Mwilini?
pia watu wa kaskazini acheni kujidhalilisha na kuomba omba pesa mitandaoni,inaweza ikawa kweli una shida ukaishia kuonekana tapeli tu,haiwezekani ukakosa ndugu,majirani au hata marafiki hadi uje humu uombe kwa watu usowafahamu,kuna kitu unakosea sana,jitafakari...
Nilipima,sina HIV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwenye shamba

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
822
Likes
952
Points
180
mwenye shamba

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
822 952 180
mwenye shamba

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
822
Likes
952
Points
180
mwenye shamba

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
822 952 180
cephalocaudo

cephalocaudo

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
11,212
Likes
13,997
Points
280
cephalocaudo

cephalocaudo

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
11,212 13,997 280
Jaman kma kuna mtu anWeza msaidia amsaidie sio tena kujigeuza madk hapa mbona tb inajulikana uambukizwaje wake..ht kwenye daldala unaweza ipata..pole sana mkuu
Watu wana ukame mifukoni sasa hasira zao wanahamishia kwa mgonjwa.
 

Forum statistics

Threads 1,262,330
Members 485,559
Posts 30,120,687