Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

Mimi alinibishia, anasema ni chanjo ya TB. Nikiijua hospital anayofanyia kazi sitothubutu kukanyaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kusoma kwangu kote sijawahi kujua kama TB ina chanjo bali tiba.
Halafu anakwambia TB sio moja kati ya magonjwa yanayoshusha kinga ya mwili hapo hapo anamuuliza mgonjwa kama alichekiwa HIV. Daktari hajui TB ina uhusiano mkubwa na HIV sababu dalili zao pia zinafanana.
Huyu dokta simtaki mimi. Nimegundua naweza nikawa dokta kumzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No wonder sikuhizi madaktari wamejaa mahospitai lakini ni sawa na hakuna, kama madaktari wenyewe ndo kama huyu wa humu loh, lazma idadi ya vifo iwe kubwa mahospitalini
 
Kwanza kusoma kwangu kote sijawahi kujua kama TB ina chanjo bali tiba.
Halafu anakwambia TB sio moja kati ya magonjwa yanayoshusha kinga ya mwili hapo hapo anamuuliza mgonjwa kama alichekiwa HIV. Daktari hajui TB ina uhusiano mkubwa na HIV sababu dalili zao pia zinafanana.
Huyu dokta simtaki mimi. Nimegundua naweza nikawa dokta kumzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
No wonder sikuhizi madaktari wamejaa mahospitai lakini ni sawa na hakuna, kama madaktari wenyewe ndo kama huyu wa humu loh, lazma idadi ya vifo iwe kubwa mahospitalini
Hii thread imemshushia CV, ni heri asingejionesha kuwa ni Dr watu tungemtreat kama mtu wa kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MTOA MADA HUWEZI KUPATA PESA KIRAHISI NAMNA HIYO.HAYO MAELEZO YAKO NI MEPESI SANA.MIMBA MLIPANGA WEWE NA MKEO SIO BAHATI MBAYA.TB INATIBIWA BURE TU.INA MAANA HUKO ULIKO UMEKOSA NDUGU,MARAFIKI,HAO WANAOKULIPA 10,000 KILA SIKU NDUGU WA MKEO MARAFIKI WA MKEO MAJIRANI NK MPAKA UMEAMUA KUJA MITANDAONI TENA NA FIGURE KAMILI YA 100,000 YANI SIO TU MSAADA BALI KIASI MAALUMU CHA LAKI DUH .
Hawa watu wanaboa saana.. Jamii forums imekuwa ya hovyo saana siku hizi.
 
Kaka yangu, Ambaye naye ni MD moja ya hosp yamkoa .

Aliambukizwa TB ktk wodi hilohilo la wagonjwa wa TB???


Nani kasema wodi ya wagonjwa wa TB watu huingia tuuuu ??????. Anakaaa hapa napale.??

Ulishaona wagonjwa sugu wa TB wanavoishiwa ktk mahosp yetu??????
Nshasema huyu si Dokta ni mganga wa kienyeji kutoka Njombe anatafuta watoto wadogo JF bahati mbaya kakuta wote vijeba tulio kubuhu😂😂😂😂
 
Hii ni post ya zamani, na aliomba mchango kwa mwezi mmoja tu. Namsubiria akicofirm kuwa bado hajaanza kazi nitatuma mchango wangu. Kama ameshaanza nitamtumia hata ya vocha tu kumuonyesha support yangu
 
Sio HIV peke yake ndio inashusha kinga ya mwili.
Chanjo zote zipo, wazazi wangu walizingatia kila kitu tena walikua wanapata huduma zote za kiafya bure kabisa kutokana na kazi zao. Ingekua TB ni kwa wenye HIV tu kwanini kadi za wagonjwa zinaainisha uwepo wa wanaougua na hawana HIV? Siku moja tembelea clinic za wagonjwa wa TB ujifunze. Maana hapa unajiondolea tu baraka kwa kuzuia michango isiende kwa mgonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii si Mara ya kwanza nakuona unajinasibu kama dokta kwahiyo hata na hili umefanya purposely sio kwa kumtega mgonjwa.
Wakati mwingine tuwe na raarifa sahihi ya kile tunachotaka kukichunguza na sio kufanya mwingine hajui. Yani unambishia kabisa mgonjwa kuwa mazingira yao ya mgodini hayasababishi TB alooooo??
Nilikua natengeneza mazingira ya yeye kunipa majibu, nikijua kujishusha kwangu atanipa majibu mazur.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom