Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

MTOA MADA HUWEZI KUPATA PESA KIRAHISI NAMNA HIYO.HAYO MAELEZO YAKO NI MEPESI SANA.MIMBA MLIPANGA WEWE NA MKEO SIO BAHATI MBAYA.TB INATIBIWA BURE TU.INA MAANA HUKO ULIKO UMEKOSA NDUGU,MARAFIKI,HAO WANAOKULIPA 10,000 KILA SIKU NDUGU WA MKEO MARAFIKI WA MKEO MAJIRANI NK MPAKA UMEAMUA KUJA MITANDAONI TENA NA FIGURE KAMILI YA 100,000 YANI SIO TU MSAADA BALI KIASI MAALUMU CHA LAKI DUH .
 
KiuKweli matatizo tumeumbiwa binadamu.

Mimi naamin suruhisho la matatizo haya yote ni Mungu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ameelezea na dozi ya TB kiusahihi kabisa. Naomba na wewe umchangie ili uanze kujifunza kuachana na hiyo dhana uliyonayo. Hata hivyo hutakiwi kuhoji kabla hujamchangia mtu. Mchango mdogo hauwezi kumfanya mtu awe tajiri. Mtu akishaomba maana yake ana shida sehemu fulani. Kwa wakristo msome Luka 6:30 (Give to everyone who asks), mmekatazwa kuhoji dhamira za waombaji bali mmeamrishwa kutoa tu.
 
Nimekuelewa mkuu

Samahan mkuu naomba nikuulize,
Wew ile chanjo ya bega la kulia pia unayo?
Nilikua nikijua kuwa ukiwa hauna hyo chanjo pia ni rahs sana kupata TB
Tena ameelezea na dozi ya TB kiusahihi kabisa. Naomba na wewe umchangie ili uanze kujifunza kuachana na hiyo dhana uliyonayo. Hata hivyo hutakiwi kuhoji kabla hujamchangia mtu. Mchango mdogo hauwezi kumfanya mtu awe tajiri. Mtu akishaomba maana yake ana shida sehemu fulani. Kwa wakristo msome Luka 6:30 (Give to everyone who asks), mmekatazwa kuhoji dhamira za waombaji bali mmeamrishwa kutoa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumejifunza wote hii. Nilikua najua tb inaambukizwa kwa njia ya hewa leo daktare wa JF katuelekeza vingine.
audacious mawazo yako kwenye hili kaka
Leo nimejifunza kwa madaktari wa hapa kuwa
1.TB haiambukizwi kwa njia ya hewa. Ni hadi uguswe na makohozi)
2. Mazingira ya kazi za mgodini (uchimbaji kwenye hewa ndogo na vumbi) hayachangii kuenea kwa TB.
3. Mtu ambaye hajapungukiwa kinga mwili hawezi kabisa kuambikizwa, ni hadi awe na HIV au kwashiorkor (kwa kifupi awe mgonjwa).
4. TB haiambukizwi kwa kukaa na mgonjwa (hata kama hajaanza kutumia dawa).
5. Wodi za TB ndugu na wahudumu wa afya wanajiachia tu.
6. N.k
MD? Basi tuna safari ndefu.

Na mimi nikienda soma medicine ntajifunza zaidi kuhusu Pathophysiology, pia epidemiology hasa occupational epidemiology.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo ujue sio hewa peke yake inafanya wew uambukizwe TB, wew unadhan ile chanjo uliyopewa kwakati wa kuzaliwa ni chanjo ya nn?

Jiangalie began una chanjo ulipewa, niambie niya kazi gan?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ambao hawajachomwa ndio wanapata tibii eeh?
I'm safe basi. Nilijua ni ndui au ndui ndio tibii kwa kiswahili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom