Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

Acha kuzungumza kwa kihis mm sijui.
Kwan Mim nimesema ni HIV peke yake???

Sasa hao watu ulio wataja hapo ndio kawaambie mambo ya TB kuwa ni rahis kuwapata,
Lakin sio mm mtu na afya yangu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Suriya unajuaje kama huna TB?ulishafanya Blood au skin test kuona kama huna TB?Maana umeishi na mtu mwenye TB pia unaongea na watu wenye TB na kufanya nao Interview kila siku bila kuvaa mask,mazingira hayo yote yanakuweka kwenye risk ya kupata TB.Latent TB haionyeshi dalili zozote za TB mkuu.
 
Kinga ya mwili ikishuka, ndio unaweza kupata TB, na ni rahis sana kuambukizwa TB hata kama ulipewa chanjo hiyo

Ndio maana unaambiwa kuna magonjwa ambayo ni rahisi sana kupata mgonjwa wa VVU/UKIMWI
Lakini mtu ambae hana vvu ni ngumu sana kupata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Suriya chanjo ya TB(BCG) inamlinda mtu kwa miaka 15 mpaka 20 halafu ufanyaje wake kazi unapungua.Iko effective sana kwenye TB Meningitis kwa watoto na si aina zote za TB.Haiko vizuri sana katika kutulinda sisi watu wazima na TB.
 
Hahahaaaaaa
Haya bhana

Kwasababu hiyo mada hatuwezi kueleweshana kwa njia ya maandishi, nitachoka bure.
Suriya chanjo ya TB(BCG) inamlinda mtu kwa miaka 15 mpaka 20 halafu ufanyaje wake kazi unapungua.Iko effective sana kwenye TB Meningitis kwa watoto na si aina zote za TB.Haiko vizuri sana katika kutulinda sisi watu wazima na TB.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukitumia kiswali hapo utanishinda.

BCG vaccine- ni kwa ajili ya Tuberculosis (TB)
Site inayotolewa- right shoulder (kwenye bega la kulia)

Ni hayo tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nadhani sio lazima Iwe kwenye bega la
Kulia japo inawezekana kwa Tanzania ndio sheria hiyo.Cha muhimu ni kuchomwa kwenye upper arm.Pia kuwa na ujuzi wa kutambua na kutofautisha smallpox na BCG scar pale inapobidi kutambua kama mtu alikuwa vaccinated na chanjo ya TB akiwa mdogo au teenager.
 
Back
Top Bottom