Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

Jaman kma kuna mtu anWeza msaidia amsaidie sio tena kujigeuza madk hapa mbona tb inajulikana uambukizwaje wake😏..ht kwenye daldala unaweza ipata..pole sana mkuu
vijana wafanye kazi, waache kujidharilisha mitandaoni kwa kuomba omba..

TB inatibika bila gharama.. Mimba ni mpango sio bahati mbaya.

Namshauri aomb e kazi, ila sio pesa.. Maana akichangiwa Leo baada ya hapo ataishije?
 
Nikuulize swali umewah kuongia kwenye word ya wagonjwa wa tb??

Chumba cha dactar anaruhusiwa kuingia mgojwa wa TB na doctor huwa anakuwa katka mavaz ya kawaida, mbona hakuna dactr aliye wahi kulalamika kuwa wagonjwa wa TB wanatuambukiza TB????

Sent using Jamii Forums mobile app


Sawa ndugu "dactar" nina imani upo kwenye "word" sasahivi
 
vijana wafanye kazi, waache kujidharilisha mitandaoni kwa kuomba omba..

TB inatibika bila gharama.. Mimba ni mpango sio bahati mbaya.

Namshauri aomb e kazi, ila sio pesa.. Maana akichangiwa Leo baada ya hapo ataishije?
😜😜😜😜ww mwenyew nilikuomba uniajiri ukanitolea nje..ajira hakuna...maisha kitaan magumu sana..wanaoomba omba hawapemdi wengine ujue
 
Hahahhaaaaaa Ni sawa kama alipakwa makohoz bila kujua, na yeye labda kinga yake ya mwili ili shake.

But pia ukikaa waka kukoholea sana hao wagojwa unaweza pata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa we we dkt unakataa nini unakubali nini ? Tb inaambukizwa kwa njia ya hewa, MTU mweny tb akikukoholea Mara nyingi Na wewe lazima upate t.b
 
😜😜😜😜ww mwenyew nilikuomba uniajiri ukanitolea nje..ajira hakuna...maisha kitaan magumu sana..wanaoomba omba hawapemdi wengine ujue
Naomba ajira basi ndugu yangu au mpaka nianzishe thread?
Vitenge vipya vimekuja kwa ajili yako...🤗
 
Ngoja ninyamaze, lakini tb haiambukizwi na vumbi, wala kukaa karbu na mtu mwenye TB hakupelekei wew kupata TB.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nijuavyo mimi unaweza kuambukizwa TB kwa kupuliana na mtu wenye TB au kukaa karibu naye kama ulivyosema hapo juu ila ni kama tu huyo mtu hajaanza matibabu ndio anaweza kuambukiza wengine akishaanza matibabu hawezi tena kuambukiza.
 
Unatuona sisi hatujaenda shule kwamba hatujui TB inaambukizwa vipi ety? Unachat na Dr hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nawe Doctor feki tu ina maana hujui njia mbalimbali za kuambukizwa TB?Au unataka mwenzio asipate msaada alioomba?Unaweza kuambukizwa TB kwa njia ya hewa endapo mgonjwa hajaanza kutumia dozi au hata mgonjwa aliyeanzishiwa dozi anaweza kumwambukiza mwingine endapo hazingatii dozi mfano kukatisha dozi nakadhalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu ambao wana magojwa ya kupelekea kinga ya mwili kushuka ndio, rahis kupata TB

Ila kwa mtu mwenye afya yake na anachimba mgodin hyo kitu haipo.

Ukitaka uamin.

Wodi ya wagojwa wenye TB watu wanaingia kawaida na kutoka, hata dactar akiwa anaongea na mgojwa wa TB anakaa nae hapa na hapa
wala haitaji kuwa na mask
manengelo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe ni dokta kweli?Ukikaa na mtu mwenye maambukizi ya TB halafu bahati mbaya akakohoa wale wadudu wakisambaa nawewe mzima unaambukizwa pia.Acha ujuaji mkuu naamini humu kuna wataalamu wazoefu wa mambo ya afya wanakuchora tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom