asante sana. sasa kwa kuanza nimshitaki nani? bodaboda au mwenye gari aliyegonga pikipikiHapa traffic case ndo itasema nani ana makosa..
kuhusu kosa la mshikaki... novus actus interveniens linamtoa hapo
Kama walivyosema wengine road accident map ni ya muhimu kujua utamshtaki nani... Pamoja na traffic Case judgement ili ukienda kufungua case ya negligence usipate tabu kuprosecute kesi yako...asante sana. sasa kwa kuanza nimshitaki nani? bodaboda au mwenye gari aliyegonga pikipiki
Asante kwa mawazo. sasa nawashitaki nani na nani? Bodaboda na mwenye gari au mwenye gari nikishirikiana nan bodaboda. Insuarance itaingiaje?Pikipiki hairuhusiwi pakia abiria 3
Abiria lazima awe na kofia ngumu
Pikipiki iwe na Bima
Mwendesha pikipiki awe na Leseni, avae kofia ngumu
Mchoro wa Trafic ndo utakusaidia zaidi
Kwenye ajali aliye nyuma ndo mwenye kufanya makosa
Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki) . Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt)
Msaada: katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye gari aliyegonga bodaboda nyuma na kusababisha ajali ya pikipiki?
Una mawazo mazuri, lakini kuna kitu kinaitwa novus actus interveniens....... kwamba kubeba mishkaki hakusababishi ajali..... hiyo itakuwa kesi inayojisimamiamwenye makosa unaweza kuwa ni wewe kwa kiruhusu watoto wako watatu wabebwe mshikaki kwenye bodaboda, na kosa la pili ni kuruhusu watoto wako wadogo wasioweza kujitete kupanda bodaboda.
watu kama wewe niliwategemea, It is no wonder, that is your thinking ceiling. Thanks, nayo ni mawazo! UbarikiweTafuta hela kwa bidii umlee mtoto wako unavyoona wewe ni sawa, na aliyekufa amshtaki nani sasa?
Unatafuta mtaji wa kufungua kijiwe cha mkaa kwa madhila ya mtoto?
Mwenzako aliyefariki wanahangaikia Jeneza, baada kuuliza sadaka nzuri ya shukrani unauliza fidia??!!!
Gari automatically lina makosa na bima yake ndio itabeba gharama zote.. Pole sana brotherKijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki) . Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt)
Msaada: katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye gari aliyegonga bodaboda nyuma na kusababisha ajali ya pikipiki?
Hii huwa huwezi kuamua kuhusu WA nyuma Bado, Kwani Kuna waendesha pikipiki wengi ni wanafunzi, kushika brakes hovyo, kutokuwa na uzoefu WA barabara nk,nk, pia ujasiri WA kupakia watoto kwenye bodaboda huwa najiuliza huyu mzazi amewezaje kupata ujasiri WA kuhatarisha Maisha ya mtoto Kwa level hiyo!? Huwa natokwa na machoziPikipiki hairuhusiwi pakia abiria 3
Abiria lazima awe na kofia ngumu
Pikipiki iwe na Bima
Mwendesha pikipiki awe na Leseni, avae kofia ngumu
Mchoro wa Trafic ndo utakusaidia zaidi
Kwenye ajali aliye nyuma ndo mwenye kufanya makosa
asante sana. najua kuna watu wanasema mshikaki hauruhusiwi. Lakini hiyo ni kesi ya bodaboda , mimi hainihusu maana ni kosa la dreva kubeba mishikaki.......Gari automatically lina makosa na bima yake ndio itabeba gharama zote.. Pole sana brother
Ajishtaki mwenyewe Kwanza Kwa kuruhusu kuhatarisha Maisha ya mtoto wake na kumsabishia madhara MakubwaTafuta hela kwa bidii umlee mtoto wako unavyoona wewe ni sawa, na aliyekufa amshtaki nani sasa?
Unatafuta mtaji wa kufungua kijiwe cha mkaa kwa madhila ya mtoto?
Mwenzako aliyefariki wanahangaikia Jeneza, baada kuuliza sadaka nzuri ya shukrani unauliza fidia??!!!
Wa kushitakiwa ni wewe kwa uzembe.Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki) . Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt)
Msaada: katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye gari aliyegonga bodaboda nyuma na kusababisha ajali ya pikipiki?
Uko sahihi! Mchoro wa polisi hapo n muhimu kama alivyoshauri mmoja wetu hapaHii huwa huwezi kuamua kuhusu WA nyuma Bado, Kwani Kuna waendesha pikipiki wengi ni wanafunzi, kushika brakes hovyo, kutokuwa na uzoefu WA barabara nk,nk, pia ujasiri WA kupakia watoto kwenye bodaboda huwa najiuliza huyu mzazi amewezaje kupata ujasiri WA kuhatarisha Maisha ya mtoto Kwa level hiyo!? Huwa natokwa na machozi
Muulize mama yako alivyokuzaa.