Naomba msaada jinsi ya kubadili jina la Page ya Facebook

cc12

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
1,018
395
Wakuu pole na majukumu

Mimi ni blogger, mara nyingi wengi wetu tunatumia sana mitandao ya kijamii ikiwa kama ni njia ya kutambulisha/kusambaza habari zetu tunazokuwa tunapost lakini wakati naanza kublog nilikosea kitu ambacho leo najuta na ninaona kero, nilitengeneza page yenye neno blogspot yani Kishymba_blogspot lakini kwa sasa sitaki hata kuliona hilo neno kutoka na kwamba nimehama situmii tena domain za bure natumia .com yani Kishymba™

Sasa mara nyingi nilikuwa nataka kubadili jina la page yangu lakin inakuwa ngumu kutoka na kwamba nina like zaidi ya elfu tano nimejaribu kurequest change lakin hakuna mafanikio nikibonyeza naambiwa sorry the link not available sasa nilipitia baadhi ya site za nje wanasema hiyo ndio njia walio post katika moja ya blog ya Tech kutoka India, sasa nikuja kwenu wana JF naombeni msaada wenu wa hali na mali nifanikishe hii kitu maana nakilicheki lile jina huwa naptwa na hasira sana

Asanten sana
 
haibadilki tena.. kama mimi nilihangaika like you..nadhani facebook wanatakiwa watengeneze hapo mtu aweze kuchange name kama zamani..
 
Wanaogopa endapo wakifanya hivyo.... Kesho unaweza ukabadili jina la page na kuweka jna la ajabu na walio like wakaonekana wote wa ajabu
 
Wasikutishe, inawezekana coz nimeweza kubadili jina la page yangu kutoka mwanajamii kwenda faridi sadick-mwanajamii.. so unaweza fanya mzbadiliko
 
Wasikutishe, inawezekana coz nimeweza kubadili jina la page yangu kutoka mwanajamii kwenda faridi sadick-mwanajamii.. so unaweza fanya mzbadiliko

mi nina pages 4.. mbili for the first time iliweza kubadilika ila kwa mara ya pili ikakataa untill now napewa notification kama anayopewa mkuu hapo juu
 
sam ts eddie hiyo kitu kk kwa sasa haipo, njia iliyokuepo sasa haifanyi kazi tena
 
sam ts eddie hiyo kitu kk kwa sasa haipo, njia iliyokuepo sasa haifanyi kazi tena

mkuu Tembo2 hivyo nikitaka kuchange nainzishe tu page ingine hakuna jinsi sasa maana napita kwenye masite ya wazungua naambiwa ukituo dola Tano unachangiwa jina la page yake fasta
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom