naomba msaada hapa (huawei)

naomba msaada hapa (huawei)

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
864
Reaction score
213
jaman kwa wataalamu wa huawei g 510 ninapata tatizo kwenye kudownload file,nime install opera lkn wapi?inadownload ikikaribia na mwisho ina fail,sasa sijui ni nn?naombeni msaada jamani
 
jaman kwa wataalamu wa huawei g 510 ninapata tatizo kwenye kudownload file,nime install opera lkn wapi?inadownload ikikaribia na mwisho ina fail,sasa sijui ni nn?naombeni msaada jamani
  • Ichukue UC BROWSER
  • Ina download manager nzuli na waweza ku_resume files zako
 
kwahiyo hii opera ni unstall?au zinawekuwa zote kwa pamoja?
 
File gani hizo??
Natumia simu kama yako ila sijakumbana na tatizo hilo.
Mwanzo nlikuwa sijainstall pc suite ikawa inaleta shida kudownload attachment
 
File gani hizo??
Natumia simu kama yako ila sijakumbana na tatizo hilo.
Mwanzo nlikuwa sijainstall pc suite ikawa inaleta shida kudownload attachment

Tatizo apa ni kwamba opera min siyo stahimilivu ku download file hasa net ikiwa haiko stable sana. Lakin hii opera ni nzuri sana ku chat hata net ikiwa low inausthimilvu katika hili.
So muda mwing kma ukitumia hii huwa file linafail na pia resuming yake haipo, when u campare with uc browser, boat browser, one browser na zingine kibao.
Kwaio mata apa sio file au content yake bt browser ilivyo.
 
Back
Top Bottom