Naomba msaada free net ya voda

Mmeniminya bure wakuu!!
Nime google nikaibukia kwenye forum f'lani kule Indonesia kiugumu ugumu nikanyaka AC ya PD-proxy pamoja na Pass ya jamaa ile kuiweka sawa password na kujalibu ikawa kanyaga twende.
sasa nipo kwenye lile basi letu nakamua mazee.

hiyo pd proxy unaunga na line gani?
 
Mmeniminya bure wakuu!!
Nime google nikaibukia kwenye forum f'lani kule Indonesia kiugumu ugumu nikanyaka AC ya PD-proxy pamoja na Pass ya jamaa ile kuiweka sawa password na kujalibu ikawa kanyaga twende.
sasa nipo kwenye lile basi letu nakamua mazee.

Umeona raha ya kujituma mkuu!!!.....ukifanya homework yako vizuri hautangoja kutafuniwa!
 
Patamu hapa huyu jamaa alikuwa anatutest.

Hacha kufikiri kwa kutumia Masaburi mkuu!!
Niwatest ili iweje?
Najua Nyumba ichachafuka so kila anayeingia humu anadhaniwa ni Spymate wa Mitandao tehe teeh........!!!
Kama nawe wataka kudandia kiaina ni PM
 
Hongera mkuu.
 
Back
Top Bottom