Naomba msaada free net ya voda

Naomba msaada free net ya voda

Mr Kicheko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
789
Reaction score
216
wadau line yangu ya voda salio lipo sh 0-0 but inaconnect kama kawa ila haina uwezo wa kufungua page yoyote so wajuzi nitoeni tongo tongo
 
wadau line yangu ya voda salio lipo sh 0-0 but inaconnect kama kawa ila haina uwezo wa kufungua page yoyote so wajuzi nitoeni tongo tongo

Hii kitu siku hizi hakunaga mkuu.
 
unatakiwa uweke hela, ndio uweze kutumia internet. au umesikia kuwa gari linaweza kutembea bila ya mafuta wala peteroli?
 
wewe ulituharibia maujanja halafu leo unajipitisha kusikilizia!? hahahaaa...tushakusoma. weka hela mkuu, ndo itafanya kazi.
 
mkuu free internet ipo jiunge na bomba 365 kwa 750,00
Tu nakuhakikishia utapata free internet ya mwaka
 
Weka Tshs 10,000/= ,nenda /fungua sms , then Type: BOMBA7 and send to 123 au 15300. Unapata internet ya bure kwa wiki nzima. Cheers
 
MAJIBU MAZURI SANA HAYA. Mkuu yafanyie lazi🙂:beer:🙂
 
Usipende dezo wewe..!! weka pesa, unafikiri kampuni itajiendeshaji ikitoa huduma bure? Na serikali itapataje kodi?
 
Usipende dezo wewe..!! weka pesa, unafikiri kampuni itajiendeshaji ikitoa huduma bure? Na serikali itapataje kodi?

Mbona wao wanatuibia live bila ya chenga!!
Dawa ya moto ni moto
 
kijana aliekwambia kuna vya bure huku kakudanganya asee cha muhimu embu waulize voda labda wanaweza kukupa ofa aseee jaribu kaka
 
kijana aliekwambia kuna vya bure huku kakudanganya asee cha muhimu embu waulize voda labda wanaweza kukupa ofa aseee jaribu kaka

Mmeniminya bure wakuu!!
Nime google nikaibukia kwenye forum f'lani kule Indonesia kiugumu ugumu nikanyaka AC ya PD-proxy pamoja na Pass ya jamaa ile kuiweka sawa password na kujalibu ikawa kanyaga twende.
sasa nipo kwenye lile basi letu nakamua mazee.
 
Back
Top Bottom