Nilikua naitumia baada ya kuizima nilipotaka kuitumia imegoma kuwaka
Inawaka haimalizi mpaka mwisho na sitaki kuiformart maana kwenye desktop kuna Cv zangu na vitu muhimu nafanyaje jaman??
Nilikua naitumia baada ya kuizima nilipotaka kuitumia imegoma kuwaka
Inawaka haimalizi mpaka mwisho na sitaki kuiformart maana kwenye desktop kuna Cv zangu na vitu muhimu nafanyaje jaman??
iwashe katika last known good ikigoma iwashe katika safe mode kwa kubonyeza F8 mara tu uiwashapo. ikishindikana repair windows files, kama haiwezekani weka windows mpya bila kuformat.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.