Naomba msaada (Computer Networking)

Duh baba hii mpya aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Router,switch,hub.ni ni devices tofauti mkuu,switch lazima iwe na port ya router na port ya PC.....switch inatumika kuconnect PC na router,security camera,na network devices nyingine,si dhani kama router inaweza Fanya kazi ya switch...uelewa ndogo nilionao napenda kusahihishwa nipate ujuzi zaidi.
 
Router inaweza fanya kazi ya switch ila switch haiwezi kufanya kazi ya router
Router,switch,hub.ni ni devices tofauti mkuu,switch lazima iwe na port ya router na port ya PC.....switch inatumika kuconnect PC na router,security camera,na network devices nyingine,si dhani kama router inaweza Fanya kazi ya switch...uelewa ndogo nilionao napenda kusahihishwa nipate ujuzi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technology has advanced...kuna switches ukiziwekea a proper license zinakua na routing functionalities or zinakuja teyari zina routing functionalities (L3 switches)...hii zinaifanya switch iweze kufanya kazi za router pia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kitu sijafanya kitambo sn lkn kwa hapo ulipofikia nadhani kuna kitu hujafanya.
Tenga Pc moja uifanye kuwa server then install Windows server kwenye hiyo Pc kisha fanya configuration ya DHCP server.

Katika kuconfigure dhcp utaset hizo gateway, dns subnet mask nk. Hiyo hiyo Pc(server) configure na modem yako humo kisha hakikisha wakati unaset policies na kuchagua shared resources na internet iwe ni moja wapo hapo utaweza kuaccess internet connection from host computers.

Nimeona watu wana argue kuhusu router vs switch huko juu, kimsingi tofauti ni switch(old) haina hizi routing protocols ndio maana inabidi ufanye dhcp configuration unapotumia switch wakati kwenye router hii ni built-in functionality. To cut the long story short, router is a clever switch.

Dah Mkuu,kitambo nimekimbia fani hii nafanya mishe zingine kabisa. Nadhani ambao wako current zaid watasaidia nilipo pelea.
Heb nisaidie, napate izo info mara gateway mara submask hapo ndo nakwamaView attachment 1427202

Emaphakadeni
 
Solution rahisi hii hapa.
Download connectify hotspot
install kwenye mashine ambayo utachomeka modem

Kupitia hiyo connectify share internet over ethernet.
Na assume umeconnect modem yako tayari.

Connect UTP kutoka kwenye hiyo desktop ambayo umeinstall connectify kwenda kwenye switch, kisha connect hizo pc nyingine kwenye ports za hiyo switch.

Hapo zote zitapata access ya internet, na IP address zitakua assigned automatically huna haja ya ku set, kama uliweka manually kwenye adapter properties zirudishe ziwe zina obtain IP automatically.
 
Back
Top Bottom