Naomba msaada (Computer Networking)

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,025
15,312
Naomba msaada wa (Computer Networking)

Kuna Computer Desktop 4, kuna network Switch, UTP cables na USB broadband modem dongle.

Nahitaji kuziunganisha hizi PC zote ili zipate internet kwa kutumia moderm ambayo itakuwa kwenye computer mojawapo.

Naomba msaada wataalamu wa mtandao, Wazee wa ma IP, DNS server nk.

Zala Na Nga
 
zinatumia OS gani? kama ni windows kwa nini usieke modem kwenye kompyuta moja halafu unaishare hiyo modem kwenda kwenye hiyo network.
 
Ni windows boss. Na ndio kitu nataka kufanya
zinatumia OS gani? kama ni windows kwa nini usieke modem kwenye kompyuta moja halafu unaishare hiyo modem kwenda kwenye hiyo network.

Zala Na Nga
 
Ni windows boss. Na ndio kitu nataka kufanya

Zala Na Nga
Fungua open network and internet sharing.

Halafu bonyeza Change adapter option.

Itatokea window hii
1587394053952.png

Right click hiyo modem-> Properties -> bonyeza tab ya sharing -> check "allow other network users ..."

Chini yake kuna dropdown menu yenye list za networks ambazo kompyuta imeunganisha, kama kompyuta ipo kwenye switch itatokea Local Network utachagua hiyo
 
Broo nimecheza sana na huo mchezo lakini wapii, nafikiri shida inakuja kwenye network configuration kwanye ma IP na DNS na Ma gateway. Hapo ndo sina utaalam huo. thesym,

Zala Na Nga
 
Broo nimecheza sana na huo mchezo lakini wapii, nafikiri shida inakuja kwenye network configuration kwanye ma IP na DNS na Ma gateway. Hapo ndo sina utaalam huo

Zala Na Nga
Jaribu kuingiza default gateway ya LAN.

Kuijua default gateway lan ingiza hii command kwenye cmd, ipconfig /all
 
Hazchem plate,
Hapo kwenye maelezo yako mkuu sijaona router, ingekuwa simple.

Otherwise tafuta modem yenye built in wifi utafanikiwa. Au ukiwa na modem isiyokuwa na built-in wifi jaribu kutumia software zinazoweza fanya tethering hotspot.
 
Hazchem plate,
Una modem na switch pia na unataka kuunganisha kwa kutumia modem, switch unaihitaji kwa kazi gani sasa? Kwa nini utume modem wakati tayari una switch?

IP addres lazima upewe na ISP. Huhitaji kuwa na DNS kwa sababu hiyo ni kazii ya ISP, unless unataka pia kutengeneza domain yako mwenyewe, ambayo itabidi uingie gharama za ziada kulipia
 
Hapo kwenye maelezo yako mkuu sijaona router, ingekuwa simple.


Otherwise tafuta modem yenye built in wifi utafanikiwa.
Au ukiwa na modem isiyokuwa na built-in wifi jaribu kutumia software zinazoweza fanya tethering hotspot.
switch = router
Ni matter tu ya configuration
 
Kama hazina wifi hotspot tengeneza topology maybe ring, bus.
Ili ziweze kuwasilisiana zote there must be a server machine so lazima uwe na server moja na ufanye configuration najua utashindwa tu kama uko dar nichek pm ntakusaidia kwa pesa ndogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana switch tayari pamoja na UTP cables. Hii inamaanisha kuwa hana mpango wa kuziunganisha kwa njia ya wifi. Issue ya topology siyo ya muhimu hapa, cha muhimu ni kwamba ana ports za kutosha kwenye switch ambazo atachomeka cables zake wala hahitaji kujua details za aina ya topology
 
Una modem na switch pia na unataka kuunganisha kwa kutumia modem, switch unaihitaji kwa kazi gani sasa? Kwa nini utume modem wakati tayari una switch?
IP addres lazima upewe na ISP. Huhitaji kuwa na DNS kwa sababu hiyo ni kazii ya ISP, unless unataka pia kutengeneza domain yako mwenyewe, ambayo itabidi uingie gharama za ziada kulipia



Mkuu sijui kama umenielewa

ni kwamba nina switch ya kawaida kabisa ya njia 10, ni nina usb modem ya kawaida. issue ni kwamba nataka iyo modem niichomeke kwenye komputer moja wapo. na hiyo computer itapeleka access kwenye switch na switch/ hub itasambaza internet kwa computer nyingine.

hii njia ipo na inatumika sana tuuu. issue ni kwamba mm sijui kuset IP, DNS na gateway. nikijua hapo tuu kazi imeisha
ggh.PNG
 
Hazchem plate,
Ni sawa kabisa, ni kweli sijakuelewa kwa sababu. Unashindwa nini kuziunganisha kwa kutumia switch? Kama tayari una switch, modem unaihitaji kwa kazi gani tena?

Kwa sababu mimi ninavyoelewa, ili uweze kuunganisha, unahitaji kimojawapo tu kati ya modem, hub au switch. Wewe unataka kutumia viwili kwa wakati mmoja, kwa nini?

Lengo lako ni nini? Angalau ungeniambia unahitaji switch na Hub kwa sababu labda pengine una Komputa nyingi ambazo haziwezi kutosha kwenye ports za switch peke yake, hapo ningekuelewa.

By the way, switch yako si ina ports angalau 12?
 
Makanyaga, Sasa boss bila kuwa na modem internet inatoka wapi? Kama kuunganisha tayari nimeunganisha. Issue ni kwamba kwenye computer ambayo nachomeka modem ndio inahitaji Network configuration configuration ili ku share internet toka kwenye hiyo computer ipasie switch na switch isambaze

Halafu na modem ninayosema mimi ni modem ya usb/ Usb dongle/ hizi za kawaida

Halafu port 12 unauliza za nn wakani mm nina computer 5 tuu

Zala Na Nga
 
Sasa boss bila kuwa na modem internet inatoka wapi??? Kama kuunganisha tayari nimeunganisha. Issue ni kwamba kwenye computer ambayo nachomeka modem ndio inahitaji Network configuration configuration ili ku share internet toka kwenye hiyo computer ipasie switch na switch isambaze

Zala Na Nga
Hiyo sasa ni kazi ya ISP, siyo ya kwako. IP Address wewe utazipata wapi bila kuwa na ISP?. Au wewe una mechanism ya kwako una uwezo wa ku-generate bandwidth ya kwako kiasi kwamba huhitaji huduma ya ISP?
 
thesym,
Ni sawa kabisa, ni kweli sijakuelewa kwa sababu. Unashindwa nini kuziunganisha kwa kutumia switch? Kama tayari una switch, modem unaihitaji kwa kazi gani tena? Kwa sababu mimi ninavyoelewa, ili uweze kuunganisha, unahitaji kimojawapo tu kati ya modem, hub au switch. Wewe unataka kutumia viwili kwa wakati mmoja, kwa nini? Lengo lako ni nini? Angalau ungeniambia unahitaji switch na Hub kwa sababu labda pengine una Komputa nyingi ambazo haziwezi kutosha kwenye ports za switch peke yake, hapo ningekuelewa. By the way, switch yako si ina ports angalau 12?
Pia brooo Makanyaga msome huyo jama hapo juu. Yeye kashajua nn mm nataka kufanya.

Zala Na Nga
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom