Naomba msaada (Computer Networking)

Baba IP si ipo.?? Kwani nikiconect internet kwa modem kwenye PC siwezi pata IP yangu
Hiyo sasa ni kazi ya ISP, siyo ya kwako. IP Address wewe utazipata wapi bila kuwa na ISP?. Au wewe una mechanism ya kwako una uwezo wa ku-generate bandwidth ya kwako kiasi kwamba huhitaji huduma ya ISP?

Zala Na Nga
 
Baba IP si ipo.?? Kwani nikiconect internet kwa modem kwenye PC siwezi pata IP yangu

Zala Na Nga
Kwa hiyo uanachotaka kutengeneza ni kama Virtual Local Area Network (VLAN) ya kwako kwa kutumia IP address moja ambayo unapata kutoka kwa ISP? Pia kuna kitu kinaitwa sub-networking ila sina uhakika sana kama unaweza ukafanukiwa kukifanya pasipo ruhusa ya ISP. Nilivyokuelewa ni kwamba unataka u-connect kwenye LAN ya ISP kifaa kimoja ambacho kitachukua IP address moja, halafu wewe uitumie IP address hiyo moja ku-imultiply kwenye devices zingine ndani ya network yako. Unahitaji kufanya sub-nettworking, ambayo nayo nina uhakika haiwezekani bila kuwa na msaada wa ISP mwenyewe
 
Nafikiri umeanza kunielewa. Icho kitu kipo na kinafanyika

Hiki kitu utafanikiwa kukifanya pale ambapo tu utaomba IP address zaidi ya moja kutokwa kwa ISP, zinazolingana na idadi ya devices ulizonazo. Vinginevyo hutaweza kwa sababu IP address moja utakayopokea, itakuwa ni kwa ajili ya device uliyounganisha moja kwa moja kwa ISP, na devices zingine zitakazo-connect kwenye device hiyo, inabidi nazo kila moja iwe na IP address yake, ambazo IP hizi inabidi ziwe tofauti na ile ya device, ila zikiwa ni za kwenye network moja na device hiyo. Nenda kamuone ISP kabla hujaanza kushukiwa kwa mambo ya netwrok fraud
 
Simple tu mzee baba, pc utakayochomeka modem ipe IP labda 192.168.1.1 (hii itakua default gateway) then share halafu PC zingine zipe IP kuanzia 192.168.168.2, 192.168.168.3 na kuendelea BUT kuna ishu ya windows inarestrict hiyo IP from sharing nitakujuza jinsi ya kuibadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia brooo Makanyaga msome huyo jama hapo juu. Yeye kashajua nn mm nataka kufanya.

Zala Na Nga
Huyu bwana ancahoongelea siyo mtandao wa internet. Ni mtandao wa ku-share files between computers, ambao unawezekana kwa kuunganisha komputa nyingi kwa kutumia switch, zikawa zinaonana na ku-share files. Huu mtindo unawezekana hata kama switch yako haina connection na mtandao wowote wa ISP. Ni basic property ya switch yoyote kwamba ukishaunganisha komputa zaidi ya mbili, zina uwezo wa kuonana ila hazitakkuwa na uwezo wa kukamata mtandao wa internet, kama switch hiyo itakuwa haijaunganishwa kwa ISP. Na kama mojawapo ya computer hizi itakuwa na internet kama umeunganisha na ISP, basi ni hiyo tu itakayoendelea kuwa na internet, zingine hazitakuwa nao, japo komputa zote zitaendelea kuwa zinaonana kwa lengo moja tu la kugawana mafaili, basi!
 
Unatumia Moderm ya Aina gani?locally PC zinaweza kuongea ikiwa zitakua kwenye same network bt kwenda kwenye internet zitahitaji device inayoweza fanya routing or NAT ku translate private IP address to Public ip address(ip address which are routable to the internet)..kwakua modrm yako haiwezi kutoa ip address automatic (u need dhcp server for this, a router or windows server can do that for u) tumia static private ip Addresses 192.168.0.1-254 e.g 192.168.0.1,192.168.0.2 na kuendelea na subnet mask 255.255.255.0, Gateway iwe ip address ya PC utakayokua umeichomeka Mordrm,or a router e.g 192.168.0.254 ...dns weka 8.8.8.8 and 4.2.2.2 hizi ni free dns server zipo huko duniani...am not sure km Normal windows can act as a router bt windows server can do that very easily. Alt kuna cheap d-link wifi router mjini ambazo zina usb port ya kuchomeka moderm na inaweza kutoa dhcp ip address...ukitumia pc kwa kazi hii make sure hio pc hazimi ikizima tu ur entire Internet will go down.

Gharama ya kulipia mtandao itakuwa ile ile, sawa na angepewa IP address nyingi kutoka kwa ISP. This will be even expensive kwa sababu atahitaji additional devices ambazo asingezihitaji kama angechukua IP address moja kwa moja kutoka kwa ISP,
MImi nilichomwelewa ni kwamba anataka apunguze gharama. Ila kama ni kwa swala la shule ya networking na utundu kwenye mambo ya networking, YOUR IDEA IS SUPERB!
Hata hivyo nina wasiwasi kama swala lake halipo kuepuka gharama, kwamba anahitaji mtandao kwa ghrama nafuu!
Only that I was wrong on the issue of network fraud, nili-overlook issue ya Private IP address! Siku nyingi zimepita, tumeshaanza kusahau
 
naona huu mjadala umeachwa kwa watu wawili,wengine tunajua kuposti tu
Hapana wahenga hawajamuelewa, jamaa anataka computer zipate internet kutoka kwenye computer nyingine akiwa ameconnect modem kwenye hiyo pc, lakini ni kwa kutumia izo utp cable kitu ambacho ni rahisi ukiwa na router hiyo switch itakusaidua kama una pc mingi.

Yaani hapa issue ni kushare internet kama huko kwenye maofisi au vyuoni kwa utp kama wanavyochomeka kwenye face plate, sio kushare files so wadau wameenda mbali mno na wanaforce mshikaji awaelewe kumbe hawaelewani.
😀
 
Unatumia Moderm ya Aina gani?locally PC zinaweza kuongea ikiwa zitakua kwenye same network bt kwenda kwenye internet zitahitaji device inayoweza fanya routing or NAT ku translate private IP address to Public ip address(ip address which are routable to the internet)..kwakua modrm yako haiwezi kutoa ip address automatic (u need dhcp server for this, a router or windows server can do that for u) tumia static private ip Addresses 192.168.0.1-254 e.g 192.168.0.1,192.168.0.2 na kuendelea na subnet mask 255.255.255.0, Gateway iwe ip address ya PC utakayokua umeichomeka Mordrm,or a router e.g 192.168.0.254 ...dns weka 8.8.8.8 and 4.2.2.2 hizi ni free dns server zipo huko duniani...am not sure km Normal windows can act as a router bt windows server can do that very easily. Alt kuna cheap d-link wifi router mjini ambazo zina usb port ya kuchomeka moderm na inaweza kutoa dhcp ip address...ukitumia pc kwa kazi hii make sure hio pc hazimi ikizima tu ur entire Internet will go down.

Sent using Jamii Forums mobile app
yan badala ueleze cha kufanya unaeleza madesa uliosoma
 
Gharama ya kulipia mtandao itakuwa ile ile, sawa na angepewa IP address nyingi kutoka kwa ISP. This will be even expensive kwa sababu atahitaji additional devices ambazo asingezihitaji kama angechukua IP address moja kwa moja kutoka kwa ISP,
MImi nilichomwelewa ni kwamba anataka apunguze gharama. Ila kama ni kwa swala la shule ya networking na utundu kwenye mambo ya networking, YOUR IDEA IS SUPERB!
Hata hivyo nina wasiwasi kama swala lake halipo kuepuka gharama, kwamba anahitaji mtandao kwa ghrama nafuu!
Only that I was wrong on the issue of network fraud, nili-overlook issue ya Private IP address! Siku nyingi zimepita, tumeshaanza kusahau
ISP hua wanatoa Kitu kinaitwa Private IP address..na hizi unapewe kulingana na matumizi yako na how much unawalipa..huyu kwa matumizi yake watampa two Public IP address then watamwambia akafanye NAT au watakuja kumfungia kila kitu ila still watafanya NAT..reasons being IPV4 Public IP address zimeisha huko duniani
Njia rahisi ni kutafta wifi router yenye option ya modem itamaliza matatzo yake...itatoa yenyewe Private IP addeess na kufanya NAT,hata hitaji kufanya configuration yoyote ya network kwenye Pc as Pc zitapata ip address automatic kitoka kwenye hio wifi router.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa unaweza nisaidia
Simple tu mzee baba, pc utakayochomeka modem ipe IP labda 192.168.1.1 (hii itakua default gateway) then share halafu PC zingine zipe IP kuanzia 192.168.168.2, 192.168.168.3 na kuendelea BUT kuna ishu ya windows inarestrict hiyo IP from sharing nitakujuza jinsi ya kuibadili

Sent using Jamii Forums mobile app

Zala Na Nga
 
ISP hua wanatoa Kitu kinaitwa Private IP address..na hizi unapewe kulingana na matumizi yako na how much unawalipa..huyu kwa matumizi yake watampa two Public IP address then watamwambia akafanye NAT au watakuja kumfungia kila kitu ila still watafanya NAT..reasons being IPV4 Public IP address zimeisha huko duniani
Njia rahisi ni kutafta wifi router yenye option ya modem itamaliza matatzo yake...itatoa yenyewe Private IP addeess na kufanya NAT,hata hitaji kufanya configuration yoyote ya network kwenye Pc as Pc zitapata ip address automatic kitoka kwenye hio wifi router.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nili-overlook kitu hicho, uko sahihi kabisa. Nilisahau kwa sababu baada ya kuwa nimesoma darasani, sijawahi hata siku moja kukifanyia kazi kile nilichosoma. Nimebaki nacho kichwani kama kumbukumbu tu. Wanaofanya Network Administration watakuwa na uzoefu ambao ni wa pekee sana hasa kwa kipindi hiki ambacho taaluma ya networking ime-advance sana. wakati nasoma hata wifi ilikuwa bado, na kwenye Airports kubwa kama Amsterdam Schiphol, hapakuwa na self check-in counters. Kidogo labda Copenhagen Airport, niliwahi kuzisikia mtu akinieleza siku moja lakini sikufanikiwa kuzitumia, na wala sikuhitaji hata kuziona! Zamani kidogo
 
Back
Top Bottom