Naomba msaada (Computer Networking)

Simple tu mzee baba, pc utakayochomeka modem ipe IP labda 192.168.1.1 (hii itakua default gateway) then share halafu PC zingine zipe IP kuanzia 192.168.168.2, 192.168.168.3 na kuendelea BUT kuna ishu ya windows inarestrict hiyo IP from sharing nitakujuza jinsi ya kuibadili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi IP hazipo kwenye network moja...
 
Naomba msaada wa (Computer Networking)

Kuna Computer Desktop 4, kuna network Switch, UTP cables na USB broadband modem dongle.

Nahitaji kuziunganisha hizi PC zote ili zipate internet kwa kutumia moderm ambayo itakuwa kwenye computer mojawapo.

Naomba msaada wataalamu wa mtandao, Wazee wa ma IP, DNS server nk.

Zala Na Nga
Ukishaweka Dongle computer yako inapewa IP address gani?Kwenye interface ipi?

I hope ulifanikiwa.
 
Hapana, kindly need your help

Emaphakadeni
Niliuliza kwenye computer unayoweka modem; ipconfig inakuonyesha computer yako ina address IP gani?

Wazo 1: Kama modem inakupa IP kwenye local interface
Wazo langu ni kuconfigure PC 3 zinazobaki kwenye the same network kama comp yenye modem.

Wazo 2: Kama IP ipo kwenye interface tofauti na Local interface.

Utaenda kwenye options then utashare internet na local interface(kuna jamaa alionesha hapo juu).Ukisha-share inabidi kuconfigure PC yenye dongle na static IP mfano; 10.10.10.1/24 , dns 8.8.8.8 halafu computer zilizobaki uzikonfige na 10.10.10.2/24, 10.10.10.3/24 na 10.10.10.4/24.Kwa hizi computer 3 gateway uweke 10.10.10.1 na dns uweke 10.10.10.1 na 8.8.8.8.
 
Huku kwingine huwa simple. Huwezi kupata internet kama DNS yako haijakaa sawa kwenye souter yako ambayo inapokea toka kwa ISP so kama configuration yako ipo sawa basi hangaika kupata DNS kutoka kwa ISP numeona watu wamekupa command itumie hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kwingine huwa simple. Huwezi kupata internet kama DNS yako haijakaa sawa kwenye souter yako ambayo inapokea toka kwa ISP so kama configuration yako ipo sawa basi hangaika kupata DNS kutoka kwa ISP numeona watu wamekupa command itumie hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Heb nisaidie, napate izo info mara gateway mara submask hapo ndo nakwama
tapatalk_1587462083001.jpg

Emaphakadeni
 
Sawa mkuu
Warning: kuna muda pc/desktop yako itafell kuunga wifi au wired network kwa matumizi ya internet kwa kuitoa kwenye automatic configuration.

Okey endelea kutafuta solution ukichoka tafuta router.

Emaphakadeni
 
Nipe msaada ndugu yangu

Emaphakadeni
Kinachoifanya router iitwe router ni configuration file siyo hardware. Hardware inachnagia tu katika kuifanya router iwe sophisticated zaidi , yaani kufanya vitu ambavyo ni advanced zaidi. Kwa hiyo unaweza uka-configure PC ika-act kama router, sema tu devices zinazoweza kuwa served ndiyo zitakuwa limited especially in number.
 
Duh baba hii mpya aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
~ kuna jamaa alikuwa na wireless router anachomeka modem akaiconfigure kwenye desktop PC akawa anatumia mtandao bila,na wewe ungekuwa na router ungenaliza kazi... shida....hiyo njia yako jaribu kugogo mkuu hapa utalishwa upupu NETWORK ni pana sana.
 
Back
Top Bottom