Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2024, Mtu msafi hanaga CHAWA nawapongeza waliowapeleka Watoto wao Chipukizi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,019
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2024 wale wote wenye Mapenzi Mema na nchi yetu

2024 ni mwaka wa Uchaguzi jiandaeni sawasawa Kwani mtu msafi hanaga CHAWA

Niwapongeze walioamua kuwapelekea Watoto wao mstari wa mbele kule Chipukizi ila wawe wavumilivu wasiwe kama Bulembo vs Kabwe

2024 tukumbuke Tunajenga Nyumba Moja tusinyanganyane mbao

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi 😄
 
Oi
Happy new year
 
Kama nakuona wewe na yule Balozi wa Palestina mkinyonya kibuyu cha Mwaka mpya.
 
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2024 wale wote wenye Mapenzi Mema na nchi yetu

2024 ni mwaka wa Uchaguzi jiandaeni sawasawa Kwani mtu msafi hanaga CHAWA

Niwapongeze walioamua kuwapelekea Watoto wao mstari wa mbele kule Chipukizi ila wawe wavumilivu wasiwe kama Bulembo vs Kabwe

2024 tukumbuke Tunajenga Nyumba Moja tusinyanganyane mbao

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi 😄
Naunga mkono hoja
Happy New Year
P
 
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2024 wale wote wenye Mapenzi Mema na nchi yetu

2024 ni mwaka wa Uchaguzi jiandaeni sawasawa Kwani mtu msafi hanaga CHAWA

Niwapongeze walioamua kuwapelekea Watoto wao mstari wa mbele kule Chipukizi ila wawe wavumilivu wasiwe kama Bulembo vs Kabwe

2024 tukumbuke Tunajenga Nyumba Moja tusinyanganyane mbao

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
Kheri ya Mwaka Mpya ndugu Yohana Mbatizaji "aka" johnthebaptist .

Ila nimegundua ujumbe wako huwa upo kwenye kichwa cha uzi tu,na si kwenye uzi wenyewe.

Karibu hapa Kawe Beach upate VAT 69 na upepo wa bahari.
 
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2024 wale wote wenye Mapenzi Mema na nchi yetu

2024 ni mwaka wa Uchaguzi jiandaeni sawasawa Kwani mtu msafi hanaga CHAWA

Niwapongeze walioamua kuwapelekea Watoto wao mstari wa mbele kule Chipukizi ila wawe wavumilivu wasiwe kama Bulembo vs Kabwe

2024 tukumbuke Tunajenga Nyumba Moja tusinyanganyane mbao

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
Heri ya mwaka mpya iwe pia kwako Bwashee na kwetu sisi wote.

Back
Top Bottom