Naomba mnisaidie kuhusu hili

Naomba mnisaidie kuhusu hili

hehe, kupo salama bana, ikiwa hakupo salama huwezi kunikuta nashinda jf...
ni weekend nakesha na series huku nachungulia huku

I dictate ur moods vzr sn wiki hii....bisha tuu
 
I dictate ur moods vzr sn wiki hii....bisha tuu
nna uhakika 100% chochote unachoconclude umekosea
I'm a very moody person, dakika mbili naweza kucheka dakika mbili nikabadilika, huwezi kupredict what is next with me, sasa wewe ukiweza utakuwa mtu wa kwanza ever kuelewa hizo mood swings zangu
 
78e868bcc40053e4a9140348ceed16f5.jpg
 
Mamboz!
Naomba mchango wenu katika hili.......hivi kuna uwezekano wa mwanaume kutoshiriki tendo la ndoa na girlfriend wake mpaka pale atakapokuja kumuoa ndo wataanza rasmi kushiriki hilo tendo? Na je,ni kweli kitu kama hiki kinawezekana katika jamii yetu au kipo katika jamii yetu?
Naomba kuwasilisha
Curious gal kwenye hiyo picha ni wewe? Ndio inawezekana kutoshiriki. Mwanaume ana njia nyingi za kumuwezesha kukojoa ikiwa ni pamoja na kusugua mjusi wake kwenye matiti ya mwanamke. Sio lazima aingize nyoka pangoni ndio akojoe...
 
Back
Top Bottom