Naomba mnisaidie kuhusu hili

Naomba mnisaidie kuhusu hili

unazijua genye vzr kweli yan zinikamate halafu secretary anajipitisha ovyo ovyo ww huku unanikazia lazma mech za mchangan zipigwe

Sent using Jamii Forums mobile app
halafu na mda huo hutakiwi kuniomba pesa
 
I know ila mimi nilitaka kujua kama kuna mwanaume anayeweza kuoa bila kusex na girlfriend wake mpaka after marriage
inshort hua mnadanganyana na ikitokea umeolewa kweli ujue mmeo amekuoa na michepuko kibao ilokua ina mpoza akat anasubiria ndoa
wanaume hatuoi 7bu ya sex kama ww ni package ya kuolewa utaolewa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inshort hua mnadanganyana na ikitokea umeolewa kweli ujue mmeo amekuoa na michepuko kibao ilokua ina mpoza akat anasubiria ndoa
wanaume hatuoi 7bu ya sex kama ww ni package ya kuolewa utaolewa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmhhhh ila ni ukweli mwanaume avumilie siku zote hizo lazima atakuwa na michepuko tu
 
inshort hua mnadanganyana na ikitokea umeolewa kweli ujue mmeo amekuoa na michepuko kibao ilokua ina mpoza akat anasubiria ndoa
wanaume hatuoi 7bu ya sex kama ww ni package ya kuolewa utaolewa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
natamani kukupinga, with facts lakini mood yangu leo sio kabisa
 
Back
Top Bottom