Naomba mnisaidie kuhusu hili

Naomba mnisaidie kuhusu hili

Kama msichana ni bikra ipo sababu na uwezekano upo,lakini kama kote kupo open mnakuwa mnasubiri nini?
 
Curious gal kwenye hiyo picha ni wewe? Ndio inawezekana kutoshiriki. Mwanaume ana njia nyingi za kumuwezesha kukojoa ikiwa ni pamoja na kusugua mjusi wake kwenye matiti ya mwanamke. Sio lazima aingize nyoka pangoni ndio akojoe...
Nimeipenda hii. At least umekuwa muwazi. Ila kwa kizazi hi cha wa KKK ni wangapi wanaweza tumia hizo njia mbadala ulizoanduka?
 
huo mtihani ni mgumu sana.....ukija oa jike dume je?? lazima mkaguane.........japo ni jambo jema kusubiri.......wengine wakiwa wawili wanapeana moyo.....but wakitawanyika kila mmoja anaende kujikuna kivyake....

hiyo sentensi ya mwisho nimecheka.
 
haiwezekani.....nishakuwa na demu akaniletea hizo mambo....baada ya kumshawishi sana na kushundikana nimle nikaamua kukubali but nikawa napiga game na mademu mwengine bila yey kujua.....mwisho wa siku nikafall mazima kwa mmoja wa wale niliokuwa napiga,Ikabidi nimpige kibuti japo mwanzo nilikuwa nampenda aisee...
 
Back
Top Bottom