Naomba mnisaidie kuhusu hili

Naomba mnisaidie kuhusu hili

Mamboz!
Naomba mchango wenu katika hili.......hivi kuna uwezekano wa mwanaume kutoshiriki tendo la ndoa na girlfriend wake mpaka pale atakapokuja kumuoa ndo wataanza rasmi kushiriki hilo tendo? Na je,ni kweli kitu kama hiki kinawezekana katika jamii yetu au kipo katika jamii yetu?
Naomba kuwasilisha
Inawezekana wote mkiwa na lengo moja kama mimi na mpenz wangu Me too
 
Mamboz!
Naomba mchango wenu katika hili.......hivi kuna uwezekano wa mwanaume kutoshiriki tendo la ndoa na girlfriend wake mpaka pale atakapokuja kumuoa ndo wataanza rasmi kushiriki hilo tendo? Na je,ni kweli kitu kama hiki kinawezekana katika jamii yetu au kipo katika jamii yetu?
Naomba kuwasilisha
HAHAHAHA HAKUNA KITU KAM HICHO HATA CKU MOJA NA JE? KAMA UKIMKUTA ANA JINCIA MBILI INAKUWAJE ALAFU NDOA YENYEWE NI KIKRISTO.
 
Back
Top Bottom