Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
- Thread starter
- #21
Hahahahahahaaaa ila nyinyi wanaume ndo mna tabia hizo ila sisi wala hatuna shida...........tatizo hamna moyo wa kusubiriaBaada ya kutumiana kwa muda tu....
Wengine wakikubaliana na wewe juwa mechi za michangani zinapigwa