[h=5]tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga taifa (jkt) kwa mujibu wa sheria mwaka 2014[/h] jeshi la kujenga taifa (jkt) linawatangazia vijana watakaomaliza elimu ya sekondari kidato cha sita mwezi mei 2014 kuwa watajiunga na jeshi la kujenga taifa (jkt) kwa mujibu wa sheria mwezi juni 2014, kwa utaratibu utakaotolewa mwishoni mwa mwezi aprili 2014 na makao makuu ya jeshi la kujenga taifa (jkt).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.