aiseeNiliambiwa nitumie kutoa uchawi mwilini
Mungu pekee atoshaNiliambiwa nitumie kutoa uchawi mwilini
Kwani halmiti si ni Eucalyptus?!Habari Wadau,
Ninaomba kuwauliza jina za Kiingereza au picha za hizi dawa, sizifahamu.
1. Halimiti
2. Zamda ya punje
3. Habbat Raihani
4. Halidari
Zama Google utapata zoteHabari Wadau,
Ninaomba kuwauliza jina za Kiingereza au picha za hizi dawa, sizifahamu.
1. Halimiti
2. Zamda ya punje
3. Habbat Raihani
4. Halidari
Wacha utani..Hiyo sio Kiingereza..😄😄😄1.Doesnteattrees
2.Zamdaofgrain
3.LoveRaihani
4.Doesnteatroof
Pumbavu sana1.Doesnteattrees
2.Zamdaofgrain
3.LoveRaihani
4.Doesnteatroof
Mkuu umetishaaaa, hata Google translate, umeibwaga1.Doesnteattrees
2.Zamdaofgrain
3.LoveRaihani
4.Doesnteatroof
Basi sio majina rasmi namimi nimejaribu imegomaNimetafuta google sipati hata translator Sioni
hata za kizungu pia panadol inabaki panadol Usidhalilishe dawa zetu za kienyeji za kizungu toka lini zikawa na tafsiri ya kiswahili? Au kutafsiriwa lugha yeyote nje ya aliyeitengeneza,?Dawa za waganga wa kienyeji hazitafsiriki kwa kiingereza.
Nje ya siasa uko vizuri sana... Achana na SIASA zinakutia DOA bayahata za kizungu pia panadol inabaki panadol Usidhalilishe dawa zetu za kienyeji za kizungu toka lini zikawa na tafsiri ya kiswahili? Au kutafsiriwa lugha yeyote nje ya aliyeitengeneza,?
Habari Wadau,
Ninaomba kuwauliza jina za Kiingereza au picha za hizi dawa, sizifahamu.
1. Halimiti
2. Zamda ya punje
3. Habbat Raihani
4. Halidari
Kwanini mkuu...?Dawa za waganga wa kienyeji hazitafsiriki kwa kiingereza.
kiswahil chenyewe tu shida kwangu..ndo kwanza nayasikia hya majina leoHabari Wadau,
Ninaomba kuwauliza jina za Kiingereza au picha za hizi dawa, sizifahamu.
1. Halimiti
2. Zamda ya punje
3. Habbat Raihani
4. Halidari
Halmiti >MentholHabari Wadau,
Ninaomba kuwauliza jina za Kiingereza au picha za hizi dawa, sizifahamu.
1. Halimiti
2. Zamda ya punje
3. Habbat Raihani
4. Halidari
Bizari | Curry powder |
Dalasini | Cinnamon |
Haradali nyeupe | White mustard |
Haradali nyeusi | Black mustard |
Hawaji -Manjano | Turmeric |
Iliki | Cardamom |
Jira | Cumin |
Karafuu | Clove |
Kisibiti | Caraway |
Kungumanga | Nutmeg |
Masala | Masala |
Mbegu za mpopi | Poppy seeds |
Pilipili iliyosagwa | Ground pepper |
Pilipili kali | Chili pepper |
Pilipili manga, Pilipli mtama | Black pepper |
Pilipili mbuzi | Paprika |
Pilipili nyeupe | White pepper |
Pilipili ya Jamaika | Allspice |
Pilipili ya kijani | Green pepper |
Pilipili ya pinki | Pink pepper |
Pilipili zilizookwa | Dried chiles |
Pilipili zilizopondwa | Crushed chiles |
Pilipili-halapenyo | Jalapeño pepper |
Reteni | Juniper berry |
Tangawizi | Ginger |
Udaha | Cayenne pepper |
Unga wa viungo vitano | Five spice powder |
Uwatu | Fenugreek |
Viungo vya Kikajuni | Cajun seasoning |
Zafarani | Saffron |