Naomba Mkopo wa kukopeshwa

Naomba Mkopo wa kukopeshwa

Aisee unazingua 😹😹
Yaani umepokonywa mwanamke wako uliyemgharamia halafu unadowea kwa wizi kwa mwanaume Liyekupokonya..!! 😹😹
Kwa mana ngoja nicheke, teteteh huyo demu kabla haja enda Kwa huyo Mzee nilimtimua Mimi, kalia sana kabembelezza sana, huyo Mzee alikuja kunioba msamaha, nika mwambia Mzee sijaoa bado Sina mke unani omba msamaha kama nani? Huyo demu anamfahamu alie chukua nafasi yake Huwa sibahatishi,
 
Wakuu nipo bado nasubiria fadhiri zenu
 
Habari, mambo vipi mko poa nyie naombeni mnisamehe kwa kuwasubueni. Nimeamua kuwandikia kwa sababu sasa nimekwama kifedha na nina uhitaji wa dharura. Naomba kama utaweza kunikopesha shilingi 20,000 ili niweze kutatua changamoto niliyonayo kwa sasa. Najua kila mtu ana majukumu yake, hivyo nitaelewa kabisa kama hautaweza.

Nakuahidi kwamba nitakapokuwa sawa kifedha nitakurudishia fedha zako zote bila kukuchelewesha. Nitathamini sana msaada wako na moyo wako wa kunisitiri katika kipindi hiki kigumu. Asante sana kwa muda wako na kwa kunisikiliza. Mungu akubariki kwa wema wako. 🙏🙏
Wachana na betting
 
Wakuu nipo bado nasubiria fadhiri zenu mkopo au hisani🙏
 
Sichezi netting Mimi mkuu, kuingia na kusoma nyuzi au kukoment Uzi sio sio kwamba nacheza
Narudia tena wachana na betting kijana iyo afu 20 utafanyia nini kama sio betting
 
Unamshauri yeye ampatie halafu hapo hapo unamshauri bora aonekane m bahili kujilinda kwa siku za usoni😅
Na ukute hizo ni id zake. Kila uzi wa hivyo huwa anajitokeza kutetea.
 
Bado nasubiria huruma yenu 🙏 na hisani yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom