Huo utakua ulimbukeni, Kwa Nini usimbadili huyo demu kuwa pisi zinazo kutoa udenda mtaani, kaka nilipata demu hana Tako hana rangi kapauka hana sura, nikaanza toboka, badili vipodozi kila siku demu akaanza pendeza nyesha sana ma splmnts Tako Hilo wazee wakaanza tena kumtamani ilihali walidai Nina demu mbaya akawa demu mkali mtaani, alienda kuolewa na Mzee Mmoja Kwa kuhongwa duka kubwa na mazagazaga kibao, hata Leo nikitaka namgonga ni heshima tu alafu Sina taimu nae ukikutana nae ukaambiwa huyu hakua na Tako hakua mweupe huwezi amini