Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,346
- 97,055
Ligi zimeanza
Nabii, hii sikupingi
Ligi zimeanza
Dada we ni genius na mimi nilitaka niulize hili swali kwanini watu wanaomba 20K pekee huu ni uzi wa 3 watu watatilia mashaka wakidhania ni the same person yule muomba platnumz
Kaka hata hio ni sadakanimebaki na hiyohiyo, nimeiandaa kwa kesho kutwa kwenye sadaka ya bwana
Ipi nzuri, ya kupeleka hemani au huku?Kaka hata hio ni sadaka
Weka namba yako ya simu hadharani ili matajiri wakutumie pasipo kujulikana.Habari, mambo vipi mko poa nyie naombeni mnisamehe kwa kuwasubueni. Nimeamua kuwandikia kwa sababu sasa nimekwama kifedha na nina uhitaji wa dharura. Naomba kama utaweza kunikopesha shilingi 20,000 ili niweze kutatua changamoto niliyonayo kwa sasa. Najua kila mtu ana majukumu yake, hivyo nitaelewa kabisa kama hautaweza.
Nakuahidi kwamba nitakapokuwa sawa kifedha nitakurudishia fedha zako zote bila kukuchelewesha. Nitathamini sana msaada wako na moyo wako wa kunisitiri katika kipindi hiki kigumu. Asante sana kwa muda wako na kwa kunisikiliza. Mungu akubariki kwa wema wako. 🙏🙏
Mkuu peleka hemani ndo nzuriIpi nzuri, ya kupeleka hemani au huku?
Mkopo wa kwanza ambao hauna time frame.Habari, mambo vipi mko poa nyie naombeni mnisamehe kwa kuwasubueni. Nimeamua kuwandikia kwa sababu sasa nimekwama kifedha na nina uhitaji wa dharura. Naomba kama utaweza kunikopesha shilingi 20,000 ili niweze kutatua changamoto niliyonayo kwa sasa. Najua kila mtu ana majukumu yake, hivyo nitaelewa kabisa kama hautaweza.
Nakuahidi kwamba nitakapokuwa sawa kifedha nitakurudishia fedha zako zote bila kukuchelewesha. Nitathamini sana msaada wako na moyo wako wa kunisitiri katika kipindi hiki kigumu. Asante sana kwa muda wako na kwa kunisikiliza. Mungu akubariki kwa wema wako. 🙏🙏
Ni rahisi kuupataKuna siri gani kwenye mkopo wa 20K?
Kama mimiSura ya kawaida yupoje
Mpaka hapo, umeshabarikiwa tatizo lako litaishaMkuu peleka hemani ndo nzuri
Huko unamppelekea mchungaji mwamposa,Ipi nzuri, ya kupeleka hemani au huku?
inabidi na humu tuanzishe jf churchHuko unamppelekea mchungaji mwamposa,
SiyoKwa hiyo mimi dada?
Nikuiteje sasaKwa hiyo mimi dada?
Nikuiteje sasa
Hii comment inakubali na kukataza 😹😹Kaka mambo Huwa yana goma, kama unayo mpatie, nilishawahi kuugua na nika kosa namna, ACHA TU nilijifunza unapo pata pesa ni kheri uonekane mchoyo na bahili lakini umejilinda Kwa siku za usoni
😹😹😹 Alex una comment za vichekesho sana..!!Huo utakua ulimbukeni, Kwa Nini usimbadili huyo demu kuwa pisi zinazo kutoa udenda mtaani, kaka nilipata demu hana Tako hana rangi kapauka hana sura, nikaanza toboka, badili vipodozi kila siku demu akaanza pendeza nyesha sana ma splmnts Tako Hilo wazee wakaanza tena kumtamani ilihali walidai Nina demu mbaya akawa demu mkali mtaani, alienda kuolewa na Mzee Mmoja Kwa kuhongwa duka kubwa na mazagazaga kibao, hata Leo nikitaka namgonga ni heshima tu alafu Sina taimu nae ukikutana nae ukaambiwa huyu hakua na Tako hakua mweupe huwezi amini