Naomba Mkopo wa kukopeshwa

Naomba Mkopo wa kukopeshwa

Kopa kwenye mitandao huko au skuhizi hazipo app zinazokopesha?
 
Bado nasubiria huruma yenu 🙏 na hisani yenu
 
Bado nasubiria huruma yenu na hisani yenu
 
Wakuu bado nipo nasubiria huruma yenu na hisani zenu wakuu
 
Bado nipo nasubiria msaada wenu wakuu heri yajumapi l
 
Bado nipo naomba msaada wenu wakuu 🙏
 
Maisha yanapiga sana mkuu nazidi kujifunza,😭 naona kila rangi, maisha ya kugombezwa, kusimangwa ukiwa umefeli ni tabu sana,😭mwezi mzima ndugu hapokei simu wala sms hajibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom