Naomba mbinu za kuishi na mume bahili

Ndo utamu wa marioo wote, tena wa kwako ana afadhali hata kusimamia hiyo biashara japo huoni hata kumi, by the way mzigo wako huo komaa nao ikishindikana temana nae. Cha mwisho kwa huyu kijianaume acha ufala unamuumiza mtoto wa watu ukue basi cha umarioo
 
hamia kwangu fasta. "Jiwe hata ulichemshe vp halitoi supu"
 
Mna wa watoto wangapi?
 
Umechangamka, hahhhahhhahhaa.
 
Bila Shaka ww utakua shabiki wa arsenal
 
eeh gari ni basic need
Achana na watoto wa uswahilini.
Mtu unahitaji msaada watu wanaleta mzaha hapa.

Kwanza nikupongeze kwa kuweza kumvumilia toka alipokuwa na wakati mgumu mpaka sasa. Nadhani ifike wakati umwambie imetosha, akiondoka bila kuacha pesa za matumizi hakuna msosi. Hata ukibidi gari pia mnyang'anye. Ukiona vipi piga chini kabisa.

Au unaogopa kuitwa single mother?
 
Pesa ya Mwanaume

1. Kununia all basic needs (food, shelter and clothes) za kila mtu ndani ya Nyumba.
2. Kulipia Ada watoto kila mwaka
3. Matumizi madogo madogo ya mke.
4. Wazazi wa pande zote mbili lazima wapate
5.kulipa kodi ya nyumba.
6.kuchangia michango ya Harusi atakayoenda mke
7.Sare za harusi atazohudhuria mwanamke ni mume ataambiwa atoe pesa.
8.Matumizi madogo madogo ya nyumbani (maji,umeme)
9.Outings za hapa na pale Mume utaangaliwa
10.Sadaka kanisani/msikitini, Mwanamke asione 2000 mezani ataitaka hiyo akaitoe sadaka na yake ibakie kwenye pochi.
11. Mafuta ya kupata atasema baba fulani sina mafuta ya kupaka na pesa sina sahivi nisaidie, utaambiwa haya mkiwa mnakula au umetafutiwa pigo takatifu ukiwa zako outing/sokoni utapelekwa na utapiyishwa dukani,

Pesa ya Mwanamke
1. Kuweka bando za Mb na vocha za kupigia rafiki



Wanaume tusilalamike sanaaaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…