Naomba mbinu za kuishi na mume bahili

kwakweli wakati wa uchumba alikuwa na hali ngumu kimaisha so alikuwa hatoi kitu, mi nikachukulia poa tu, nikahisi vile hana ndo maana hatoi, ila kwa sasa pesa anayo
Kwenye uchumba mtu hakuwa hata na buku? Kama alikuwa nayo alikuwa anakupa japo jero au Mia Tatu ye abaki na 700/500? Kama sio ulikosea kukubali kuolewa nae
 
Unaolewaje na bahili aiseeh?kisa kuogopa kuwa singo? hahahahah janamme bahili halibadilikagi kamwe ulitakiwa kupiga chini toka enzi we ukakimbilia ndoa,pambana na ndoano yako mama,si unapata heshima kwenye jamii lakin kwakuwa umeolewa?manake wanasema kuolewa ni heshima halooooo
Hahahahahahahahah sema wewe
 
Married but single
umenichekesha sana!

Yani umeongea ukweli mtupu

Na hiyo unakuta wanawake wengine wanamichepuko ya kudumu na mwanaume hata ujasiri wa kuhoji juu ya kuhoji mwenendo wa mkewe sababu mke ndo bread earner

Yani kundi hilo limekuwa kubwa sana kwenye jamii kwa sasa
Yes lipo tena kubwaaa Sana
Ila ndo mawaifu matiriooo hahahahah
Waiter ongeza castle lite meza hii ya 5
Maisha ndo hayahaya
 
Wadada wengine wanalazimishaga ndoa wakati mwanaume hajawa tayari,

Wadada wengine wanathubutu kutoa pesa zao kuwapa wanaume wakalipe mahali,

Hivi mdada unajisikiaje kujilipia mahali wewe mwenyewe?!
🤷‍♀️🤷‍♀️
 
Wadada wengine wanalazimishaga ndoa wakati mwanaume hajawa tayari,

Wadada wengine wanathubutu kutoa pesa zao kuwapa wanaume wakalipe mahali,

Hivi mdada unajisikiaje kujilipia mahali wewe mwenyewe?!
Ndio ushangae
Unajilipiaje mahari binti?how low can u go?
Akianza kukuachia bill zote za home unakuja lia mitandaoni,nacheka kifilipino
How u get him is how u gonna lose him
Akil kumkichwa
 
Haijagi ghafla tu, ilikuwa na mizizi yake zamaniii ukamlemaza. Lishakuwa jipu lako hilo.
 
Mpe K vizuri, atafanya chochote utakachomelekeza.ndio maana malaya huwa wanatushika masikio hadi tunauza nyuma tuwape hela, ni kwasababu ya kutoa K, wanakuachia uwe huru kuifanyia utakacho.
 
Mpe K vizuri, atafanya chochote utakachomelekeza.ndio maana malaya huwa wanatushika masikio hadi tunauza nyuma tuwape hela, ni kwasababu ya kutoa K, wanakuachia uwe huru kuifanyia utakacho.
Sasa si ukamuoe huyo malaya?
Kitendo Cha kumwacha malaya na kuja kwa huyo ulonaye it means she is the best
Malaya hawez kukuzalia,kukulelea watoto,kulipa bills kamwe
Usiforce maji yapande mlima dogo
 
Aliyekutuma ujitongozeshe kwa mwanaume kisa ana sura nzuri ndo huyo huyo akakupe ushauri...

Fanya kazi pata hela,mnunulie nguo kauze nae sura.

Kama sio hivyo basi humpi ngono nzuri hivyo mwanaume hapotezi mda kugharamikia mwanamke ambaye hata waki sex nae Ni kwasababu anataka ku release tension, no intimacy.
Garbage!
 
S
Sasa si ukamuoe huyo malaya?
Kitendo Cha kumwacha malaya na kuja kwa huyo ulonaye it means she is the best
Malaya hawez kukuzalia,kukulelea watoto,kulipa bills kamwe
Usiforce maji yapande mlima dogo
Sasa kwa akili yako,kama ana hela na hauzioni,unafikiri anazipeleka wapi kama si kwa malaya? Nenda kajifunzebunyago utunze ndoa. Kwa taarifa yako kwa asili hichi ndo kilichopo mioyoni kwa sisi wanaume wote, ndio maana samson alimuweza delila, kiuno mama.
 
Bana ehhh unanimalizia enery ya kupost buleee
Nenda ukapate hivo viuno na family kwa hao makahaba,gnt boy
 
Habari za mchana wanajamii,

Naombeni mbinu za kuishi na mume bahili/mchoyo.

Mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. Umeme unakatika atauchuna na mtalala gizani, asubuhi ataondoka bila kuacha hata mia sijui anawaza mtakula nini, kwakuwa nina mtoto mdogo na wadada wa kazi inabidi niwaachachie pesa za matumizi, gari akiriharibu hatengenezi ng'o na litaendeshwa hivyo hivyo mpaka utakavyoamua kulipeleka gereji mwenyewe.

Nimechoka jamani basi ikokea katoa hela utakuta kaweka 100,000 kabatini na hakwambii kama ni pesa ya matumizi.

Akishatoa hiyo atajikausha hata miezi minne inaweza pita bila kutoa kitu na bado ataendelea kukuomba hela,mara naomba hela nikaweke mafuta kwenye gari, mara naomba hela ya sadaka ili mradi ile aliotoa mpaka iishe.

Basi nikafungua biashara sehemu, akaidakia yeye akaanza kuisimamia, sijawahi ona hata mia kutoka kwenye ile biashara, kodi ya pango ikaisha, hela hata mia, ikabidi nilipie tena kodi, bado sioni kitu yaani kama hakuna biashara inaendelea,ukimuuliza anakuwa mkali

Basi nimeamua kutolipa tena kodi ya pango ikiisha, na TRA Silipi. Nimemsema sana lakini naona habadiliki.

Nimfanyeje mwanaume wa hivi khaaaa
Simple na wewe tafuta pesa zako kwa nguvu zote yaaniii... Una akili, nguvu, viungo vyote unavyo, elimu etc kwa nini uishi maisha ya kutegemea mfuko wa mwenzio as if wewe ni kilema??
 
Back
Top Bottom