Kama humudu gharama za maisha kwa kazi unayoifanya bila msaada wa boyfriend, wewe ni masikini

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,148
27,131
Ameandika Godbless Lema!

Kuna kundi la vijana wana behave kama wako ktk kundi la watu wenye maisha ya kati lakini ukweli ni kuwa wana deal na maisha yao ya kila siku kwa njia ngumu sana na aibu.

Ukikutana nao kama huwajui vizuri unaweza fikiri uchumi wao ni imara sana. Msaada wa boyfriend haupaswi kuwa sehemu ya mahesabu yako katika ku calculate kipato chako na status yako, ni kama ambavyo tu huwezi lipia kodi madawa ya kulevya.

Dada zangu nyie pia mnahitaji mageuzi ya kisiasa na kiuchumi kuliko mnavyo fikiri. Kazi ya kuitafuta Nchi bora haiwahusu wale walioko barabarani tu wanaofanya ukahaba bali inamhusu kila aliyesukumwa na umasikini kuingia katika biashara ya udhalilishaji.

Wengi mnafanya biashara hizi lakini kwa style tofauti, ni kama tu ukilewa kwenye bar za mitaani unaitwa mlevi lakini ukilewa katika 5 Star Hotel utaambiwa oohhhh jana fulani alichoka mapema akapelekwa nyumbani kupumzika.

Tafakari kama unahitaji kuunga mkono mapambano yanayoendelea sasa ya kudai Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.

My Take: Nakazia 100%
 
Kama ukifukuzwa kazi, na ukawa just nje ya geti la kazini kwako na huna kitu tena, wewe ni masikini..!!
 
God Lema itakua ana akaunti humu mana hii wiki iliopita nyundo kwa KE zilikua non stop overdose dadeki, kaunga teraa 😁
 
Back
Top Bottom