naomba mbinu za kuishi bila boyfriend

LUNA

Member
Aug 1, 2012
25
0
naomba wana jf mnisaidie njia ambazo zitanisaidia niishi peke yangu bila boyfriend coz kila nikiwa kwenye relation naishia kuumizwa.
 
....Hakuna mbinu zaidi ya kutokubali kutongozwa.
 
kwani hauwezi kuishi bila b/f? Mna-share nae moyo au pua? Au mmezaliwa umebandana nae? Kwnn hauwezi hishi bila b/f? Hauna kitu cha kufanya? Ni mtegemezi? Horny?
 
naomba wana jf mnisaidie njia ambazo zitanisaidia niishi peke yangu bila boyfriend coz kila nikiwa kwenye relation naishia kuumizwa.

Achana na vivula (Boyfriends), jikite zaidi na wazee wanajua ku-handle
 
....Hakuna mbinu zaidi ya kutokubali kutongozwa.

huwezi kwenda kinyume na asili. Sema mleta mada aulize ni jinsi gani ataepuka kuumizwa kwenye mapenzi au afanye nini kuhakikisha haumizwi. Inawezekana kabisa mleta mada hana mipango thabiti anapoingia kwenye mahusiano, na anaishia kukutana na sio kabisa.

Mapenzi yapo, yameumbiwa wanadamu na yataendelea kuwepo. Yasingekuwepo hata mleta mada 'pengine' asingekuwepo leo duniani...
 
kuwa busy na issues zako tu na pia acha kuwatamani wanaume. Ila nilikuwa nakushauri ujitathmini wewe mwenyewe pia kwa nini hao uliowahi kuwa nao wanakuumiza?
 
mche Mungu naye atakupa nguvu za kuwakataa wanaume wa kuhit and run
 
Jiwekee malengo makubwa yatakayokuweka busy kila wakati. Ukitoka katika shughuli zako, unaingia sauna, kutoka hapo kwaya then home kupika huku unaandaa program za kumaliza kesho ofisini kwako. Kama huna kazi basi anza kutafuta namna ya kupata ofisi yako huku ukitaka zaidi kujiajiri. Kama ni mwanafunzi, basi jaribu kutafuta namna ya kuvunja record za idara na chuo chako kwa kufaulu kwa kiwango cha juu sana huku ukitengeneza nafasi za kupata hela.
 
mie hili naona linahusiana na personality yako.

Kuna watu wengine hawawezi kuishi bila mtu wa kumtegemea kihisia, ndo maana unashindwa ishi bila bf kwa muda unaotaka.
 
Tafuta manfriends utaepukana na boyfriends!
Ukishndwa dildos zinapatikana we tafuta tu,they can be helpful u knw?
 
Kwa nini usiumizwe wakati kila siku mizinga tu, hapo wanaume lazima wakukumbie tu as wanakuona mchunaji na huna mapenzi
 
Back
Top Bottom