naomba mbinu za kuishi bila boyfriend

Mapenzi ya sasaivi ni kuwa muongo muongo!
Say what you don't mean and do what you don't say..
Ishi kama wanaume wa sasa wanavyopenda..hope hutaumizwa tena!
 
Kuumizana ni sehemu ya relationships. Hata ukioa au kuolewa, kuumizana kupo tu. Raha na maumivu ni sehemu ya relationships!!
 
mche Mungu naye atakupa nguvu za kuwakataa wanaume wa kuhit and run

na mimi namwongezea kuwa aenende katika roho zaidi na si katika mwili,maana tamaa za mwili hataziweza kamwe.
 
ooh pole sana mm ningekushauri uanze kujifunza kujitosheleza mwenyewe (kupiga nyeto)
lakini ungejaribu pia kujiuliza ni kwanini unaachana na hao boyfriend zako kama tatizo unalijua basi lirekebishe kwani kuishi bila mpenzi si vizuri kwani hata njiwa nae ana mpenzi
kama ukiona umeshindwa vyote basi ni text mm nitakusaidia na utaondokana na upweke
 
> angalia uhalali na uharamu wa kuwepo kwenye uhusiano
>angalia faida na hasara
>kwanini uwe na " boyfriend " ?
>Jee kuwepo kwenye uhusiano wa aina hio HAKUMKERI MUNGU? Pima majibu yako, kati ya chanya na hasi wapi kuna asilimia kubwa.
 
naomba wana jf mnisaidie njia ambazo zitanisaidia niishi peke yangu bila boyfriend coz kila nikiwa kwenye relation naishia kuumizwa.

Can you tell the fish not to swim? Think about it LUNA!
 
Mimi nahisi cha msingi ni kuwa busy...kwani ukiwa loose unakuwa unawazia hayo mambo zaidi... Lakini kwa mfumo wa maisha ya sasa inabidi ujishuhulishe uweze kusimama mwenyewe yaani kujitosheleza kwa mahitaji yako ya msingi...hakuna mwanamme atakuwa anakubabaisha, kwani unakuwa na uhuru zaidi wa kufanya maamuzi.
Ukikuta kazi yako inakua muda wa ziada...jitahidi kufanya mazoezi ..yale unayo enda.mf. kutembea, kukimbia, kendesha baiskeli nk.
Najua kwa mtazamo wa kiafrika..ukitembea kwa miguu barabarani hata mahali ya kilometa mbili..wanasema umeishiwa...hawajui wenzetu ulaya unalipia sehemu ya kutembea kwa miguu...!!!!
Ulaya kuona waziri anaenda kazini na baskeli sio ajabu??? mazoezi!!!
 
naomba wana jf mnisaidie njia ambazo zitanisaidia niishi peke yangu bila boyfriend coz kila nikiwa kwenye relation naishia kuumizwa.

Duh, kweli kizazi cha wazinzi hiki jamani, unamaana huwezi kuishi bila hii kitu we dada? inaonekana linakusumbua sana akilini mwako! kweli tunatofautiana sana aisee.........
 
Back
Top Bottom