mangia22
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 446
- 186
03/06Ntajie tarehe ya kuzaliwa
03/06Ntajie tarehe ya kuzaliwa
Asante mkuuSio kitabu wala darasa wala nn ,ni wewe kuamua tu bas ndio itakusaidia,,,mbinu za kuondoa aibu nazo ujifunze kwenye vitabu?? Kukiwa na watu wengi na wanakutazama we angalia juu kimtindo bas,,,ukishaongea dakika 3 za mwanzo kujiamin kunaanza kuja taratibu mpka mwsho.... Cha muhim ujue unataka kuongea nn
Asante mkuu nafanyia kazi hili piaMara nyingi ukiwa huna point za kutosha/za nguvu unakosa hoja Na hutaweza kujieleza.
Jikite ktk kusoma VITABU si lazima public speaking tips...muhimu ni kujua issues
Then jifunze kutetea hoja point zako publicly. Anzia kazini kwako....jifunze sehemu ya kusema yes sema why and how
Ahsante sana Mkuu! Kila la kheri.Mkuu nashukuru kwa ushauri wako, kwa kweli siachi kufanyia kazi ushauri mzuri nipatao
Coz-Kozi.Njoo uchukue coz
Usipingane na hulka, sio karama yako hiyo.. Kwahiyo hata mambo ya siasa usijaribuMimi ni mwanaume wa miaka 29. Kinachonisimbua mimi sio muongeaji, hasa nikiwa mbele ya watu. Huwa naumia ninapoona watu kama makondakta wa gari za mjini huku waongeaji kiasi cha kumshawishi mtu hadi acheke.
Licha ya kusoma mpaka chuo, huwa sina mazungumzo ya ziada. Huwa naongea pale ibidipo niongee. Hii hali inanisababisha nafanya kazi nyingi hadi muda wa ziada.
Naomba ushauri, zipo njia ambazo naweza kutumia ili kuongeza kiwango cha kuongea?
MmmmmmmmhHata mie ni hivo hivo sio muongeaji kabisa ngoja nidese hapa
Serious, mi ni mkimya mnoMmmmmmmmh
Wewe Evelyn Chumvi embu acha kutudanganya bhana
Huyo Makonda ni domo ndio limemponza, mshukuru Mungu kwa kukubariki hilo.Mimi ni mwanaume wa miaka 29. Kinachonisimbua mimi sio muongeaji, hasa nikiwa mbele ya watu. Huwa naumia ninapoona watu kama makondakta wa gari za mjini huku waongeaji kiasi cha kumshawishi mtu hadi acheke.
Licha ya kusoma mpaka chuo, huwa sina mazungumzo ya ziada. Huwa naongea pale ibidipo niongee. Hii hali inanisababisha nafanya kazi nyingi hadi muda wa ziada.
Naomba ushauri, zipo njia ambazo naweza kutumia ili kuongeza kiwango cha kuongea?
Pole sana mkuu, kuna rafiki yangu ndio best best. Yeye alikua hawezi kudeliver materials kwa audiences kwenye presentations sasa alikua anapata wine kali au spirit kuweka msawazo wa akili, hapo atatapika mpaka references zote ila kosa mpeleke hajavaa mawani ya mbao hawezi kabisa.Mimi ni mwanaume wa miaka 29. Kinachonisimbua mimi sio muongeaji, hasa nikiwa mbele ya watu. Huwa naumia ninapoona watu kama makondakta wa gari za mjini huku waongeaji kiasi cha kumshawishi mtu hadi acheke.
Licha ya kusoma mpaka chuo, huwa sina mazungumzo ya ziada. Huwa naongea pale ibidipo niongee. Hii hali inanisababisha nafanya kazi nyingi hadi muda wa ziada.
Naomba ushauri, zipo njia ambazo naweza kutumia ili kuongeza kiwango cha kuongea?
Hahaha, mkuu umesahau anaweza kurudisha chenji maswali yakichanganya na darasa lote wamenyoosha mikono wapewe nafasi ya kuuliza [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mkuu huko kwenu viroba bado vinapatikana? Jaribu kutumia sana viroba hasa unapokuwa na issues zinazokudai kusimama mbele za watu vitakusaidia sana! Huwa naona vijana wanapokuwa na mambo za kufanya presentation huwa wanajiandaa kwa kupiga viroba sana na wanakuwa fresh ile mbaya. Jaribu na wewe halafu utuletee mrejesho hapa jamvini!!