Chukua mazoezi ya kuongea mbele ya watu eventually utazoea.Most people are like that,sio wewe tu,inachukua muda kuzoea.We all started that way.Mimi ni mwanaume wa miaka 29. Kinachonisimbua mimi sio muongeaji, hasa nikiwa mbele ya watu. Huwa naumia ninapoona watu kama makondakta wa gari za mjini huku waongeaji kiasi cha kumshawishi mtu hadi acheke.
Licha ya kusoma mpaka chuo, huwa sina mazungumzo ya ziada. Huwa naongea pale ibidipo niongee. Hii hali inanisababisha nafanya kazi nyingi hadi muda wa ziada.
Naomba ushauri, zipo njia ambazo naweza kutumia ili kuongeza kiwango cha kuongea?
Hahahahahaaa acha jeuriiHaki ya nani JF ni kiboko,, hata kama ulikuwa umenuna kama Magu....li ametoka kutembelea mradi wa maji usiokamilika hapa utacheka mpaka mbavu zikuume!!
Nimecheka Sana!!We ukifika mbele ya watu tazama juu usawa wa vichwa vyao kisha assume unaongea na mifugo au watoto
Na ambaye hajui kuongea vizuri? Namaanisha ulemavu wa kuongea kidogoKuna njia moja nyepesi sana unaweza kuidhara but ina effect kubwa sana katima kkujengea confidence kwani wewd hakun kinachokusumbua zaidi ni kuwa Huna confidence na hii inasababishwa na Negative perception ulizo nazo.
Fanya kama ifuatavyo Ukiwa chumbani kwako Simama Mbele ya kioo na hakikisha una focus katika taswira ya macho yako katika kioo pasipo kuongea chochote kwa muda wa dakika tano kila asubuhi uamkapo kabla ya kuanza shughuli zako za kila siku..na usiku utarudia zoez hilo kabla ya kulala...
Pili penda kuwa na mazoea ya kuongea ongea na watoto wadogo ambao wapo katika kikundi au hata mmoja mmoja.
Ni vitu simple but effect yake ni kubwa.....
chagua mtu mdhaifu sana ktk audience yko mdharau, mshushe thaman na umuangalie yeye tu katka mazungumzo yoteMimi ni mwanaume wa miaka 29. Kinachonisimbua mimi sio muongeaji, hasa nikiwa mbele ya watu. Huwa naumia ninapoona watu kama makondakta wa gari za mjini huku waongeaji kiasi cha kumshawishi mtu hadi acheke.
Licha ya kusoma mpaka chuo, huwa sina mazungumzo ya ziada. Huwa naongea pale ibidipo niongee. Hii hali inanisababisha nafanya kazi nyingi hadi muda wa ziada.
Naomba ushauri, zipo njia ambazo naweza kutumia ili kuongeza kiwango cha kuongea?
hahaaakunywa safari 3 za moto
Hapo kwenye watu kukimbia presentation chuoni utawagusa wengi. Masikini ni kutoka impact zake za baadae, utaona anasakiziwa mtu kikasiku akapresent wasijue kwamba wanajidumaza.Tafuta kitabu cha mwandishi DALE CARNEGIE-HOW TO DEVELOP SELF CONFIDENCE AND INFLUENCE PEOPLE BY PUBLIC SPEAKING... Vinapatikana tu sehemu nyingi huko mtaani kwa wauza vitabu..kitakupa ABCs za kujiamini na kuongea mbele za watu..vipo pia vingi vya public speaking.. Muhimu ni kwanza ujue unataka kuongelea nini, ukishajua uwe na confidence ... ni kitu ambacho unajifunza kidogo kidogo japo kuna watu ambao naturally wana uwezo huo.. hata maraisi wanapiga jaramba hotuba zao kabla ya kuja kwenye public kuongea.. hivyo hujachelewa, chukua hatua..pia uwe unajizoesha kuchangia point kwenye mijadala mbalimbali, na kujifunza vitu vingi itakupa point za kuchangia wakati wa mazungumzo.. uzuri ni kuwa shuleni ndo mahali pazuri pa kujifunzia haya mambo, bahati mbaya watu wengi wanakuwa mabubu madarasani, chuoni mkitakiwa kufanya presentation unajificha huonekani... sasa ukiingia kitaa ndo unakumbana na reality hiyo...