Eminem jr
JF-Expert Member
- May 21, 2018
- 2,006
- 4,617
Kwel apige tu kilevi Afu aongezee na kitu cha arusha. Hakika atapona!!kunywa safari 3 za moto
Kwel apige tu kilevi Afu aongezee na kitu cha arusha. Hakika atapona!!kunywa safari 3 za moto
haha haha aisee" wabongo sisi daahhTatizo ulikua unakimbia presentations' za chuo...
U kashindwa kupata nafasi ya kuongea mbele za wanachuo wenzako... Alafu unakuja kulalama huku.
Me naona uongee tu mbele ya watoto wako, mkeo inatosha..
Ukitaka kuweza kuongea mbele za watu cha kwanza jitengenezee mazingira ya kujiamini...utajiamini vipi ?Mimi ni mwanaume wa miaka 29. Kinachonisimbua mimi sio muongeaji, hasa nikiwa mbele ya watu. Huwa naumia ninapoona watu kama makondakta wa gari za mjini huku waongeaji kiasi cha kumshawishi mtu hadi acheke.
Licha ya kusoma mpaka chuo, huwa sina mazungumzo ya ziada. Huwa naongea pale ibidipo niongee. Hii hali inanisababisha nafanya kazi nyingi hadi muda wa ziada.
Naomba ushauri, zipo njia ambazo naweza kutumia ili kuongeza kiwango cha kuongea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ulikua unakimbia presentations' za chuo...
U kashindwa kupata nafasi ya kuongea mbele za wanachuo wenzako... Alafu unakuja kulalama huku.
Me naona uongee tu mbele ya watoto wako, mkeo inatosha..
Tatizo ulikua unakimbia presentations' za chuo...
U kashindwa kupata nafasi ya kuongea mbele za wanachuo wenzako... Alafu unakuja kulalama huku.
Me naona uongee tu mbele ya watoto wako, mkeo inatosha..