Hata kutongoza huwezi? Nako ni kuongea Mbele ya mtu.Tatizo ni kwamba hujiamini kama kuongea tu mbele ya watu huwezi vipi kuanzisha ugomvi sehemu yoyote ile utaweza kweli cha msingi jikubali kwanza wewe ni wewe na hakuna kama wewe jiamini kwa lolote lile
mkuu, yani hii ni njia kubwa sana yaku overcome confidence na kusimama mbele za watu, kama mtoa mada kweli ataifanyia Nazi atakuja kuona, sababu ukiwa kwenye kile kioo unakua kama upon in public na wewe ndo wale watuu, pamoja sana......Kuna njia moja nyepesi sana unaweza kuidhara but ina effect kubwa sana katima kkujengea confidence kwani wewd hakun kinachokusumbua zaidi ni kuwa Huna confidence na hii inasababishwa na Negative perception ulizo nazo.
Fanya kama ifuatavyo Ukiwa chumbani kwako Simama Mbele ya kioo na hakikisha una focus katika taswira ya macho yako katika kioo pasipo kuongea chochote kwa muda wa dakika tano kila asubuhi uamkapo kabla ya kuanza shughuli zako za kila siku..na usiku utarudia zoez hilo kabla ya kulala...
Pili penda kuwa na mazoea ya kuongea ongea na watoto wadogo ambao wapo katika kikundi au hata mmoja mmoja.
Ni vitu simple but effect yake ni kubwa.....
Mkuu yani watu wengine sijui VP, yani mtu kaja na ishu muhimu, kaja hapa anajua kuna watu wa hekima zao washapitia vitu flan kama vyake atasaidiwa , heee, anachojibiwa atajuta kurudi kuomba ushaulii, , sijui ingia chumvini, nenda ukawa, though its a joke lakini inauma kuomba ushauri kwa watu unaowategemea unakutana na comment kama hizoo , na hii ishu kweli inasumbua wengi tukiamua kufanyiana majaribio humuu eeeehHuu ni ushauri wa mtumia miraa
Usiwaangalie watuMimi ni mwanaume wa miaka 29. Kinachonisimbua mimi sio muongeaji, hasa nikiwa mbele ya watu. Huwa naumia ninapoona watu kama makondakta wa gari za mjini huku waongeaji kiasi cha kumshawishi mtu hadi acheke.
Licha ya kusoma mpaka chuo, huwa sina mazungumzo ya ziada. Huwa naongea pale ibidipo niongee. Hii hali inanisababisha nafanya kazi nyingi hadi muda wa ziada.
Naomba ushauri, zipo njia ambazo naweza kutumia ili kuongeza kiwango cha kuongea?
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako, kwa kweli siachi kufanyia kazi ushauri mzuri nipataoAre You Great Thinkers?.
Busara ni pamoja na kukubali jambo usilolielewa na kuacha wanaolielewa kuchangia.Badala ya kumshambulia mtoa hoja katika namna ya majibu ya DHIHAKA ni bora usichangie lolote na utakuwa umeisaidia jamii forum kwa kutokuwa na midahalo mingi isiyo na msingi pamoja na kuishushia hadhi.
Kuanzia kwa Jambo Forums na baadaye Jamii Forums ya Mwanzoni na hadi kufikia Miaka ya Juzi 2015 kurudi nyuma ilikuwa ni Pahala pema pa miongoni mwetu kujifunza mengi katika namna ya Busara sana.Hakukuwa na Haya majibu ya Facebook wala Instagram.
Leo hii kila mtu anaanzisha mada yeyote na Kuchangia chochote kwa kisingizio cha Jina feki.Ikumbukwe kuwa "Japo tunatumia Usernames na Avatar tofauti,hilo halibadilishi uhalisia wa nafsi na Mioyo yetu".Tuwe wataarabu na tusiigize ustaarabu.
Binafsi Nachukizwa na Majibu ya Hovyo humu Jamii Forums.Kama huna la kuchangia Ni BORA UKAE KIMYA.
Back to the question.Mkuu Felice1 ,Namna bora ya kuongeza Uwezo na stadi ya kuzungumza katika halaiki ya watu ni Kusoma vitabu,Articles mbalimbali kuhusu PUBLIC SPEAKING pamoja na Kuhudhuria semina mbali-mbali kuhusu hitaji yako.Kwa kuufuata huu ushauri utajikuta uki-master Kuzungumza mbele ya watu katika namna isiyoelezeka.
I stand to be corrected.
Asante sana mkuu, nayafanyia kazi hayoKuna njia moja nyepesi sana unaweza kuidhara but ina effect kubwa sana katima kkujengea confidence kwani wewd hakun kinachokusumbua zaidi ni kuwa Huna confidence na hii inasababishwa na Negative perception ulizo nazo.
Fanya kama ifuatavyo Ukiwa chumbani kwako Simama Mbele ya kioo na hakikisha una focus katika taswira ya macho yako katika kioo pasipo kuongea chochote kwa muda wa dakika tano kila asubuhi uamkapo kabla ya kuanza shughuli zako za kila siku..na usiku utarudia zoez hilo kabla ya kulala...
Pili penda kuwa na mazoea ya kuongea ongea na watoto wadogo ambao wapo katika kikundi au hata mmoja mmoja.
Ni vitu simple but effect yake ni kubwa.....
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Deadkunywa safari 3 za moto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mweh Mungu uyu anakazi Sana mdomo akupe na kuongea piaNdugu yangu muombe mungu atakusaidia
Mifugo hasa hasa makondooo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]We ukifika mbele ya watu tazama juu usawa wa vichwa vyao kisha assume unaongea na mifugo au watoto