TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Nimerudi
===
Asante sana kwa bandiko lako murua.
Nina maswali kadhaa kutokana na bandiko lako hili.
1. Mfumo imara ni nini hasa? Yaani ni kitugani, jambo gani, hali gani na kiko, liko, ikoje?
2. Naomba unipe na kunifafanulia kinagaubaga tabia/desturi/tamaduni za "mfumo imara". Naomba pia katika kufafanua hili utumie mifano halisi ili kunirahisishia uelewa wa hii " mfumo imara"
===
Natanguliza shukrani kwa majibu ya maswali yangu.
Nakutakia asubuhi njema.
Nimebaki nikiwa TUJITEGEMEE.
Nafikiri humaanisha kwamba kiongozi awepo pale kama robot, afu nchi, taasisi na idara zake vijiendeshe automatic kulingana na sheria mama ya nchi na sheria zinginezo. Kazi ya rais iwe ni kupewa taarifa, kushauriwa na kutoa maamuzi kulingana na alivyoshauriwa.Siku kadhaa na hasa miaka kadhaa iliyopita, nilianza kusikia habari za 'mfumo imara' kuwa ndiyo unaofaa zaidi kuliko 'kiongozi imara'.
Mwanzoni sikutilia maanani. Lakini, siku za hivi karibuni hili fungu la maneno la 'mfumo imara' limejizolea sifa ya kutajwa mara kwa mara kwenye mitandao mingi ya kijamii; hata humu jamvini (www.jamiiforums.com), fungu hili la maneno limejizolea sifa hizo hizo..
Wafuasi wa hicho kitu kiitwacho "mfumo imara" ni wale watu wavivu na dhaifu kiutendaji. Wasioamini katika uongozi. Watu kaliba ya yule CAG mstaafu aliyezinduka juzi akasema angalau asilimia 60 ya watumishi wa umma hawana uwezo stahiki.Siku kadhaa na hasa miaka kadhaa iliyopita, nilianza kusikia habari za 'mfumo imara' kuwa ndiyo unaofaa zaidi kuliko 'kiongozi imara'.
Mwanzoni sikutilia maanani. Lakini, siku za hivi karibuni hili fungu la maneno la 'mfumo imara' limejizolea sifa ya kutajwa mara kwa mara kwenye mitandao mingi ya kijamii; hata humu jamvini (www.jamiiforums.com), fungu hili la maneno limejizolea sifa hizo hizo...
Mkuu TUJITEGEMEESiku kadhaa na hasa miaka kadhaa iliyopita, nilianza kusikia habari za 'mfumo imara' kuwa ndiyo unaofaa zaidi kuliko 'kiongozi imara'.
Mfumo imara ni utaratibu mahususi unaotungwa kwa mbinu shirikishi na kwa umakini wa kiwango cha juu kabisa wa uendeshaji shughuri za nchi kwa kuzingatia maslahi mapana ya nchi na kwa maslahi mapana ya vizazi vijavyo. Mifumo hii haitakiwi kuingiliwa wala kubadilishwa na kiongozi yeyote awae, Bali inatakiwa kuheshimiwa na kufuatwa na kila kiongozi awae.Siku kadhaa na hasa miaka kadhaa iliyopita, nilianza kusikia habari za 'mfumo imara' kuwa ndiyo unaofaa zaidi kuliko 'kiongozi imara'.
Mwanzoni sikutilia maanani. Lakini, siku za hivi karibuni hili fungu la maneno la 'mfumo imara' limejizolea sifa ya kutajwa mara kwa mara kwenye mitandao mingi ya kijamii; hata humu jamvini (www.jamiiforums.com), fungu hili la maneno limejizolea sifa hizo hizo...
Kuna commenter mmoja hapo juu aliyejibu ( na nashawishika) kwamba huwezi kuwa na mfumo imara bila kuwa na watu imara, ila inawezekana kuwa na watu imara bila kuwa na mifumo imara.Mfumo imara ni utaratibu mahususi unaotungwa kwa mbinu shirikishi na kwa umakini wa kiwango cha juu kabisa wa uendeshaji shughuri za nchi kwa kuzingatia maslahi mapana ya nchi na kwa maslahi mapana ya vizazi vijavyo. Mifumo hii haitakiwi kuingiliwa wala kubadilishwa na kiongozi yeyote awae, Bali inatakiwa kuheshimiwa na kufuatwa na kila kiongozi awae...
Unaweza ukaeleza vizuri hoja yako kwa context ya hapa kwetu kwa mfano?Kuna commenter mmoja hapo juu aliyejibu ( na nashawishika) kwamba huwezi kuwa na mfumo imara bila kuwa na watu imara, ila inawezekana kuwa na watu imara bila kuwa na mifumo imara. Hili si swali la kuku na yai kipi kilianza. Hili lipo wazi kabisa kwamba kiongozi imara anahitajika awepo kwanza ili kuwepo mfumo imara.
Dhana ya mfumo imaraSiku kadhaa na hasa miaka kadhaa iliyopita, nilianza kusikia habari za 'mfumo imara' kuwa ndiyo unaofaa zaidi kuliko 'kiongozi imara'.
Mwanzoni sikutilia maanani. Lakini, siku za hivi karibuni hili fungu la maneno la 'mfumo imara' limejizolea sifa ya kutajwa mara kwa mara kwenye mitandao mingi ya kijamii; hata humu jamvini (www.jamiiforums.com), fungu hili la maneno limejizolea sifa hizo hizo...
Nyerere alirithi nchi kutoka kwa mkoloni (mwingereza) ikiwa chini ya mifumo ya matabaka "caste" na "tribal" systems. Kulikuwepo tabaka la wazungu, wahindi na waarabu na wazawa weusi. Kazi ya kwanza ilihitaji kiongozi imara atakayevunja hayo matabaka na kuweka mfumo wake mwingine, na ndicho alichokifanya Nyerere.Unaweza ukaeleza vizuri hoja yako kwa context ya hapa kwetu kwa mfano?
Unajichanganya, huwezi kusema mfumo unawekwa na mtu kama ulivyotumia mfano wa Magufuli, mfumo imara unawekwa na sheria itakayotoa miongozo ya hao watakaokuwa wanaongoza hizo taasisi waweze kuziendesha bila kuingiliwa na yeyote wakitimiza majukumu yao, na hivyo hivyo wakiharibu washtakiwe bila kuangalia wao ni wakina nani toka chama gani.Nyerere alirithi nchi kutoka kwa mkoloni (mwingereza) ikiwa chini ya mifumo ya matabaka "caste" na "tribal" systems. Kulikuwepo tabaka la wazungu, wahindi na waarabu na wazawa weusi. Kazi ya kwanza ilihitaji kiongozi imara atakayevunja hayo matabaka na kuweka mfumo wake mwingine, na ndicho alichokifanya Nyerere...
Binafsi mimj ni mfuasi mwaminifu wa mifumo imara, naamini kabisa kuwa tunahitaji kiongozi mzalendo, mwadilifu, mwenye maono shirikishi na utashi wa kisiasa ili kuweka mifumo imara na siyo kiongozi imara anaeweka mifumo anayoamini yeye kwa ajili ya kufanikisha malengo binafsi na washirika wake.Wafuasi wa hicho kitu kiitwacho "mfumo imara" ni wale watu wavivu na dhaifu kiutendaji. Wasioamini katika uongozi. Watu kaliba ya yule CAG mstaafu aliyezinduka juzi akasema angalau asilimia 60 ya watumishi wa umma hawana uwezo stahiki...
Yani mfumo imara ni mfumo imara siyo mkuu.?Mfumo imara ni (strong system) mfano Kigogo wa twitter ana mfumo imara wa TEHAMA ambao ni ngumu sana kuufanyia hacking.
Ni maneno matamu tu ya siasa,tafasiri yake ukiuliza wanayoisema, unaweza ukatukanwa
Nimesoma machapisho mawili ya mwanzo nimeona wengi wamekimbilia kwenye siasa. Mfumo imara nadhani kwa kiengereza manaake ni strong institution (taasisi imara). Labda kifo cha Magufuli kinaweza kuwa somo tosha (najaalia kama alifanya kazi kubwa ya kupambana na rushwa, discipline ya watumishi n.k).Siku kadhaa na hasa miaka kadhaa iliyopita, nilianza kusikia habari za 'mfumo imara' kuwa ndiyo unaofaa zaidi kuliko 'kiongozi imara'.
Mwanzoni sikutilia maanani. Lakini, siku za hivi karibuni hili fungu la maneno la 'mfumo imara' limejizolea sifa ya kutajwa mara kwa mara kwenye mitandao mingi ya kijamii; hata humu jamvini (www.jamiiforums.com), fungu hili la maneno limejizolea sifa hizo hizo...
Si kuna sheria ya kodi? Mbona watu wanakwepa kodi kama unafikiri maana ya mfumo ni sheria?Unajichanganya, huwezi kusema mfumo unawekwa na mtu kama ulivyotumia mfano wa Magufuli, mfumo imara unawekwa na sheria itakayotoa miongozo ya hao watakaokuwa wanaongoza hizo taasisi waweze kuziendesha bila kuingiliwa na yeyote wakitimiza majukumu yao, na hivyo hivyo wakiharibu washtakiwe bila kuangalia wao ni wakina nani toka chama gani...
Mfumo upo tena mzuri,Tanzania kuna mamlaka za kudhibiti kila kitu, bodi za kila aina ya kitu, mahakama zinazosikiliza kila aina ya kosa,serikali iliyojaa wizara ya kila sekta...tulichokosa ni uadilifu tu, kila mtu angesimamia kazi yake kwa usahihi na bila kuogopana ,tungekua mbali...Kwahiyo unavoniambia hakuna mfumo sikuelewi, sema kuna watu dhaifuMfumo Imara katika nchi ni mfumo wenye "Checks and Balances" ambazo zinazuia mtu mmoja mwenye mamlaka kufanya anavyojisikia yeye tu badala ya vile katiba, sheria na miongozo ya nchi inavyoelekeza. Lakini pia ni mfumo ambao unahakikisha kuwajibika kwa kiongozi endapo ataweza kuwa kichwa ngumu au jiwe kuzivuka checks and balances zinazopaswa kumdhibiti....