Mimi nataka dedicated connection ya Fiber kwa ajili ya ofisi. Je vp kuhusu turn around time incase of problem like kuwa down au any technical problem?watakuja hapa kukutajia ila TTCL ni kigoma mwisho wa reli,nenda kawacheki mkuu,au ingia kwenye tovuti yao,utapata ukitakacho!
Kuna yeyote anatumia vodacom anipe mrejesho as nahofia wanaweza nitreat kama small fish as they are big in the market. Je kama unatumia how is there service. Nimewaweka kwenye list yangu na survey wameshafanya ila napenda kupata more information. TTCL mnaniconvince kuwaweka lakini ningependa sana kupata mrejesho kutoka kwa wanaoitumia as my office is 95% internet dependant so ikikata tu ni shiidahChukua Vodacom main Link then TTCL iwe Redundant link makampuni mengi nimeshuhudia yanafanya hvy
kama budget sio tatizo huna option ni simbanet tu kwa Tanzania, wao pekee ndio wanatoa internet yenye ping 1ms au 2ms na 24hrs 7 day week ipo online, wakikupa speed inakuwa ni download na upload speed sawa.Mimi nataka dedicated connection ya Fiber kwa ajili ya ofisi. Je vp kuhusu turn around time incase of problem like kuwa down au any technical problem?
Kama unawatumia vp unawaona je are you enjoying the service?
kama budget sio tatizo huna option ni simbanet tu kwa Tanzania, wao pekee ndio wanatoa internet yenye ping 1ms au 2ms na 24hrs 7 day week ipo online, wakikupa speed inakuwa ni download na upload speed sawa.
pitia hii thread kujua zaidi
Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala
hizi mobile data haziaminiki uptime zake sio 100% na ping ina vary sana, kwenye mambo serious unaweza kwama
Weeee!
usiseme kwamba hana option, kumbuka huo uzi uliweka hapo ulikuwa ni uzi wako na ni mtazamo wako tena ilikuwa ni siku nyingi zilizopita. ni vyema ukampa list ya ISP wazuri wengine pia. Kumbuka pia Halotel nao wanayo fibre, pia TTCL nao wameboresha Huduma zao.
Angalia hii list sio ya mchezo mchezo
1. Habari node
2. Zantel
3. Halotel
4. Vodacom
5.Airtel
6. Tigo
7. Raha
na wengineo, na unaposema dedicated hatutegemei mambo ya USB modem hapo. So afanye utafiti wa kina.
For some places simbanet anachota services kutoka voda then yeye anawauzia nyie so who is the best voda au simbanet? Also some places voda anachota kutoka ttcluna screenshot ya ping zao? mi nilieka hio screenshot ya ping 2ms kama wewe unayo chini ya hapo eka, naitumia sana hio simbanet na sasa hivi hapa ninapoitumia wame upgrade hadi 8mbps, hata ukitaka 30mbps na zaidi hela yako tu.
4g za mitandao yote uliotaja hapo juu nimetumia, sijatumia fiber zao ila hio mitandao ikikazana ni 10ms ambayo imepitwa mara 5 na simbanet, kama una speed nzuri zaidi tuma mkuu, hii ni Technology hakuna maana kubishana kwa maneno.
isp wengi wana kitu kinaitwa backbone, backbone ya internet inakuwa na speed kubwa sana lakini mtumiaji wa kawaida haikuhusu sababu hutakuja kuenjoy hio speed.For some places simbanet anachota services kutoka voda then yeye anawauzia nyie so who is the best voda au simbanet? Also some places voda anachota kutoka ttcl
Weeee!
usiseme kwamba hana option, kumbuka huo uzi uliweka hapo ulikuwa ni uzi wako na ni mtazamo wako tena ilikuwa ni siku nyingi zilizopita. ni vyema ukampa list ya ISP wazuri wengine pia. Kumbuka pia Halotel nao wanayo fibre, pia TTCL nao wameboresha Huduma zao.
Angalia hii list sio ya mchezo mchezo
1. Habari node
2. Zantel
3. Halotel
4. Vodacom
5.Airtel
6. Tigo
7. Raha
na wengineo, na unaposema dedicated hatutegemei mambo ya USB modem hapo. So afanye utafiti wa kina.
wia ni jina la isp?Mkuu unatumia SimbaNet kwa sasa na je unapata 2ms pinga statics? Link ni ya capacity gani?
mimi natumia Wia na link yangu ni 10mbps up/down hii ndio speed test ya sasahivi View attachment 473800
sio mbaya speed yao, single digit ping pia ni nzuri.Yes wia ni jina la isp. Here is there web address wia.co.tz
isp wengi wana kitu kinaitwa backbone, backbone ya internet inakuwa na speed kubwa sana lakini mtumiaji wa kawaida haikuhusu sababu hutakuja kuenjoy hio speed.
mtumiaji wa kawaida unatumia kila ambacho isp amekupa, inawezekana voda akawa na backbone kali kushinda isp wowote lakini kama hana huduma ya mteja wa mwisho kuenjoy hio speed mimi itanisaidia nini?
ninachozungumzia hapa ni huduma ambayo inakupa ping ndogo kabisa Tanzania ya simbanet 2ms uhakika, kama voda wanayo internet yenye ping ndogo kama hio unaweza eka screenshot mkuu tukafananisha.
na hizi cable wanazotoa kama simbanet ni dedicated speed, usipopata hio speed unaweza hata kushitaki compare na mobile data za mitandao ya simu ambazo ni shared speed jinsi mnavyokuwa wengi ndio jinsi ambavyo net inashuka speed na kutoaminika.