Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

Who would you pick as your ISP for office use Fiber optic connection

  • SimbaNET

    Votes: 4 13.3%
  • TTCL

    Votes: 10 33.3%
  • Vodacom

    Votes: 5 16.7%
  • RAHA

    Votes: 1 3.3%
  • Wia

    Votes: 1 3.3%
  • Tigo

    Votes: 1 3.3%
  • Zantel

    Votes: 1 3.3%
  • Airtel

    Votes: 1 3.3%
  • Cats Net

    Votes: 5 16.7%
  • Habari Node

    Votes: 1 3.3%

  • Total voters
    30
Mkuu mimi nimefunga zuku 10mbps gharama ni 69,000 kwa mwezi, speed yao wanasema up to 10mbps hivyo sio dedicated, kwa experience yangu muda mwingi unaipata hio 10mbps kasoro peak time mida kama saa 12 jioni mpaka saa 3 usiku inashuka hadi 6 mpaka 7 mbps.

Pia nacheza sana games online, ping inavary kupita maelezo, kuna muda inakuwa nzuri kupita mitandao ya simu na muda ping inazidi 1000ms, hivyo kama unategemea zaidi ping hawa jamaa hawafai. Ila matumizi ya kikawaida ya kuangalia youtube na netflix wapo vizuri.

Pia raha na makampuni mengine ya fiber wametandaza fiber za kutosha mitaani, hivyo naamini soon majiji mengi yatakuwa covered na hizi fiber.

Raha wanaanzia 60,000 na kuna faiba wao ni 75,000 wote ni 10mbps wanaanzia.

Pia zipo package kubwa zinaweza kustream hadi 4k za kuanzia 50mbps kwa bei kuanzia 120,000
Mkuu kuna updates zozote za hao akina Raha & wengine kuzidi kujisambaza uswahilini huku maana hali ni tete
 
Back
Top Bottom