Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

Who would you pick as your ISP for office use Fiber optic connection

  • SimbaNET

    Votes: 4 13.3%
  • TTCL

    Votes: 10 33.3%
  • Vodacom

    Votes: 5 16.7%
  • RAHA

    Votes: 1 3.3%
  • Wia

    Votes: 1 3.3%
  • Tigo

    Votes: 1 3.3%
  • Zantel

    Votes: 1 3.3%
  • Airtel

    Votes: 1 3.3%
  • Cats Net

    Votes: 5 16.7%
  • Habari Node

    Votes: 1 3.3%

  • Total voters
    30
Mkuu kama unatumia SimbaNET tuwekee basi ping statistics yao hapa. Na kama hutojali na wengine pia please use this link Visualware MyConnection Server | Connection Test to test your connection and share tuone
screenshot ya speedtest

piFRzVM.jpg

ni ya muda kidogo, nitatest link yako halafu nitatuma hapa
 
kuna kampuni inaitwa CTV yaani cable television network ni nzuri sana. nichek PM for more details
 
Habari wana JF

Tafadhali naomba msaada wa kupata list ya ISP wa Tanzania, nahitaji ili niweze kuissue Bid request lakini pia kujua who is there na what capacity nayo
Wacheki smile ndo wako vizur sana mwenye ISP bro
 
Mimi nataka dedicated connection ya Fiber kwa ajili ya ofisi. Je vp kuhusu turn around time incase of problem like kuwa down au any technical problem?
Kama unawatumia vp unawaona je are you enjoying the service?
Jamaa hajakulewa vizur alijua labda unataka vifurushi vya simu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mimi nataka dedicated connection ya Fiber kwa ajili ya ofisi. Je vp kuhusu turn around time incase of problem like kuwa down au any technical problem?
Kama unawatumia vp unawaona je are you enjoying the service?
Wacheki smile kaka NFO wako vizur sana.....maana wale jamaa wako more dedicates in ISP .....
 
bei ya internet za biashara mara nyingi haipo fixed inategemea na matumizi, location etc mfano hii ninayotumia wanalipa dola 2000 kwa mwezi wafanyakazi zaidi ya 70 wanatumia mikoa mitatu na matawi kama 8 hivi.
na baadhi ya wafanyakazi wameletewa hadi majumbani,
For corporate na kama unataka dedicated kwa ISP ambao nimeshafanya nao price inadepend na bandwidth unayotaka. mfano curreny ISP anachaji kama USD$150 kwa mwezi per 1mbps.

Bei ya simba net kwa mwezi ni ngapi?
SimbaNET niliwahi kuwatumia miaka ya 2009 - 2011 by that time price zailikua juu coz ilikuwa VSat ila kwa sasa najua wako cheap i will be testing there connection soon

Wacheki smile kaka NFO wako vizur sana.....maana wale jamaa wako more dedicates in ISP .....
Mkuu niliwahi kucheki na Smile kama sikosei mwaka juzi waliconfirm kwamba hawana corporate packages. Na pia coverage yao ni ndogo as ni Dar peke yake.
 
Kufika sasa naona watu wengi wanarecommend SimbaNET ina maana wote humu mnatumia SimbaNET? Hakuna anayetumia ISP mwingine ni vizuri tukasikia kutoka kwa ISP wengine ili kupata jibu zuri. Am sure sio mimi peke yangu ambaye anataka kujua haya so wekeni details kwa faida wengine pia.
 
Habari wana JF

Tafadhali naomba msaada wa kupata list ya ISP wa Tanzania, nahitaji ili niweze kuissue Bid request lakini pia kujua who is there na what capacity nayo
Baada ya comment nyingi lets vote nina imani itaturahisishia sana sisi Watu w ICT kufanya decision
 
Kuna yeyote anatumia vodacom anipe mrejesho as nahofia wanaweza nitreat kama small fish as they are big in the market. Je kama unatumia how is there service. Nimewaweka kwenye list yangu na survey wameshafanya ila napenda kupata more information. TTCL mnaniconvince kuwaweka lakini ningependa sana kupata mrejesho kutoka kwa wanaoitumia as my office is 95% internet dependant so ikikata tu ni shiidah
Ttcl ni wazuri lakini ujanjaujanja mwingi ,mfano wanaweza kukupa 3MPS lakini usipate exactly 3MPS .
 
Ttcl ni wazuri lakini ujanjaujanja mwingi ,mfano wanaweza kukupa 3MPS lakini usipate exactly 3MPS .

That is to say hawampatii mteja dedicated connection. At the same time vp turn around time yao incase of problem?
 
Back
Top Bottom