Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,242
- 44,327
nimeona wana huduma nyengine za internet ila sidhani kama zitakuwa na quality kama hii fiber, cheki website yaoSimba hawana package ya watu bianfsi?
nimeona wana huduma nyengine za internet ila sidhani kama zitakuwa na quality kama hii fiber, cheki website yaoSimba hawana package ya watu bianfsi?
Mkuu mimi nimefunga zuku 10mbps gharama ni 69,000 kwa mwezi, speed yao wanasema up to 10mbps hivyo sio dedicated, kwa experience yangu muda mwingi unaipata hio 10mbps kasoro peak time mida kama saa 12 jioni mpaka saa 3 usiku inashuka hadi 6 mpaka 7 mbps.Ni muda sasa tangu tumepima uwezo wa internet provider wa nchi yetu na kaw hali ilivyo wameongezeka wengi tu tangu 2017. sio mbaya tukiongeza kwenye list alafu tukapima tena. kwa kuangalia zaidi mikoani
Yani hiki ndio nilitegemea ila internet ya nyumbani ninunue laki 2 kwa mwezi? Hapana kwa kweli! Atleast ingekuwa 50K-100K!kwa biashara sawa ila mtu binafsi hapana,
kenya wanazo 2mbps kwa 1000 mpaka 1500 ambayo inakuja kama 30,000 hivi ya kibongo, hata ikizidi hadi 50,000 sio mbaya cha muhimu iwe na latency chini ya 10ms na speed angalau 2mbps.
Hawa raha wanafunga hata huku uswahilini Tabata maana nje kwetu hapa walizikaga waya wa fibre optic kipindi flani! sijui walikuwaga voda wale au kampuni gani ila kuna fibre ipo nje tu ya nyumba yetuMkuu mimi nimefunga zuku 10mbps gharama ni 69,000 kwa mwezi, speed yao wanasema up to 10mbps hivyo sio dedicated, kwa experience yangu muda mwingi unaipata hio 10mbps kasoro peak time mida kama saa 12 jioni mpaka saa 3 usiku inashuka hadi 6 mpaka 7 mbps.
Pia nacheza sana games online, ping inavary kupita maelezo, kuna muda inakuwa nzuri kupita mitandao ya simu na muda ping inazidi 1000ms, hivyo kama unategemea zaidi ping hawa jamaa hawafai. Ila matumizi ya kikawaida ya kuangalia youtube na netflix wapo vizuri.
Pia raha na makampuni mengine ya fiber wametandaza fiber za kutosha mitaani, hivyo naamini soon majiji mengi yatakuwa covered na hizi fiber.
Raha wanaanzia 60,000 na kuna faiba wao ni 75,000 wote ni 10mbps wanaanzia.
Pia zipo package kubwa zinaweza kustream hadi 4k za kuanzia 50mbps kwa bei kuanzia 120,000
Ni kweli mkuu Raha wana coverage kubwa Africa, sema wanatarget sana Biashara, hawapo wazi linapokuja suala la wateja wa kawaida.Hawa raha wanafunga hata huku uswahilini Tabata maana nje kwetu hapa walizikaga waya wa fibre optic kipindi flani! sijui walikuwaga voda wale au kampuni gani ila kuna fibre ipo nje tu ya nyumba yetu
Dah nani ambao wanaweza kuwa supportive kwa home internet? Maana TTCL nilipita maeneo ya website yao nikakutana na laki 8 ambayo pia unapimiwa GB za kutumia!Ni kweli mkuu Raha wana coverage kubwa Africa, sema wanatarget sana Biashara, hawapo wazi linapokuja suala la wateja wa kawaida.
Zuku hawajafika huko, ila hawa jamaa wapo serious sana, ukiwapigia simu siku hio hio wa nakuja kukufungia, na ni bure installation we unaanza tu kulipia gharama ya mwezi.Dah nani ambao wanaweza kuwa supportive kwa home internet?
Niliwacheki ila wanadai wapo Kino Clein tu na ushuani Masaki, Obey, Msasani hukoZuku hawajafika huko, ila hawa jamaa wapo serious sana, ukiwapigia simu siku hio hio wa nakuja kukufungia, na ni bure installation we unaanza tu kulipia gharama ya mwezi.
Na offer kibao ukiwa unalipia kabla tarehe ya ku expire haijafika wana double speed.
Juzi kati Wali expand na Kkoo, CTV wamefika hadi ilala.Niliwacheki ila wanadai wapo Kino Clein tu na ushuani Masaki, Obey, Msasani huko
Habari chief mimi naishi Tabata kuna kampuni za hawa jamaa wa fiber zinazoweza nifikia hukuJuzi kati Wali expand na Kkoo, CTV wamefika hadi ilala.
Habari,kaka ulifanikiwa kupata kampuni yenye covergae maeneo ya Tabata.Nimepata tatizo kama lakwakoNiliwacheki ila wanadai wapo Kino Clein tu na ushuani Masaki, Obey, Msasani huko
Aisee sikupata mkuuHabari,kaka ulifanikiwa kupata kampuni yenye covergae maeneo ya Tabata.Nimepata tatizo kama lakwako
utakuja huyu jamaa atakusaidia zaidi. Nafikiri ipo fiber na ipo satelite Internet kwa 60,000 ambayo unatumia popote Tanzania. Sema satelite Internet in ping mbovu haifai kufanya kitu chochote cha live kama kuangalia mpira, kuongea online, video call etc.Habari chief mimi naishi Tabata kuna kampuni za hawa jamaa wa fiber zinazoweza nifikia huku
Ahh"Hapana mkuu mimi shughuli zangu zote ni hizo ulizo ziorodhesha hapo.Naona hiyo haita nifaaautakuja huyu jamaa atakusaidia zaidi. Nafikiri ipo fiber na ipo satelite Internet kwa 60,000 ambayo unatumia popote Tanzania. Sema satelite Internet in ping mbovu haifai kufanya kitu chochote cha live kama kuangalia mpira, kuongea online, video call etc.
Installation bure
![]()
Satellite Internet Packages| Konnect Africa
Discover Konnect satellite internet packages for your home or business. Explore our fast, easy to install and affordable offers.africa.konnect.com
Kama hizo ndio kazi zako ni Fiber tu itakufaa.Ahh"Hapana mkuu mimi shughuli zangu zote ni hizo ulizo ziorodhesha hapo.Naona hiyo haita nifaaa