Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

Who would you pick as your ISP for office use Fiber optic connection

  • SimbaNET

    Votes: 4 13.3%
  • TTCL

    Votes: 10 33.3%
  • Vodacom

    Votes: 5 16.7%
  • RAHA

    Votes: 1 3.3%
  • Wia

    Votes: 1 3.3%
  • Tigo

    Votes: 1 3.3%
  • Zantel

    Votes: 1 3.3%
  • Airtel

    Votes: 1 3.3%
  • Cats Net

    Votes: 5 16.7%
  • Habari Node

    Votes: 1 3.3%

  • Total voters
    30
isp wengi wana kitu kinaitwa backbone, backbone ya internet inakuwa na speed kubwa sana lakini mtumiaji wa kawaida haikuhusu sababu hutakuja kuenjoy hio speed.

mtumiaji wa kawaida unatumia kila ambacho isp amekupa, inawezekana voda akawa na backbone kali kushinda isp wowote lakini kama hana huduma ya mteja wa mwisho kuenjoy hio speed mimi itanisaidia nini?

ninachozungumzia hapa ni huduma ambayo inakupa ping ndogo kabisa Tanzania ya simbanet 2ms uhakika, kama voda wanayo internet yenye ping ndogo kama hio unaweza eka screenshot mkuu tukafananisha.

na hizi cable wanazotoa kama simbanet ni dedicated speed, usipopata hio speed unaweza hata kushitaki compare na mobile data za mitandao ya simu ambazo ni shared speed jinsi mnavyokuwa wengi ndio jinsi ambavyo net inashuka speed na kutoaminika.
mkuu nilikua na jamaa wa Raha nikawauliza kuhusu ilo swala unaloongelea hapo kwamba wakikupa 2MBps ni kila mtu anayeshare anatumia hivyohivy bila kushuka wakanikatalia kabisa
 
Habari wana JF

Tafadhali naomba msaada wa kupata list ya ISP wa Tanzania, nahitaji ili niweze kuissue Bid request lakini pia kujua who is there na what capacity nayo

web site ys TCRA in list ya all licensed operators.
 
kama budget sio tatizo huna option ni simbanet tu kwa Tanzania, wao pekee ndio wanatoa internet yenye ping 1ms au 2ms na 24hrs 7 day week ipo online, wakikupa speed inakuwa ni download na upload speed sawa.

pitia hii thread kujua zaidi
Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala

hizi mobile data haziaminiki uptime zake sio 100% na ping ina vary sana, kwenye mambo serious unaweza kwama
Ninawatumia simbanet ila funga kifaa cha kujua unachopokea. Ni watata wanaweza kukuuzia dedicated wakskusuply shared. Yamenikuta.
 
kwa biashara sawa ila mtu binafsi hapana,

kenya wanazo 2mbps kwa 1000 mpaka 1500 ambayo inakuja kama 30,000 hivi ya kibongo, hata ikizidi hadi 50,000 sio mbaya cha muhimu iwe na latency chini ya 10ms na speed angalau 2mbps.
Kenya wako so far in terms of infrastructure YES, Tanzania tumeanza kusogea na soon tutafika huko. I remember three years ago budget yangu ya internet ilikuwa USD 1700 kwa 3Mbps sasaivi kwa the same budget naweza kupata more than 10MBps. So we are moving.
Ningependa sana tuwe wakweli na kama tukiweza tushee na status ya link zetu ili kuturahishia kufanya decision. Kama its okay nanyi please run this link in your network and share the results it needs java to run na itakupa exactile what your getting from your ISP
Visualware MyConnection Server | Connection Test
 
hii hapa

zA0T0QR.png

sina uwezo wa kuwastopisha watumiaji wengine hope haiathiri sana
 
una screenshot ya ping zao? mi nilieka hio screenshot ya ping 2ms kama wewe unayo chini ya hapo eka, naitumia sana hio simbanet na sasa hivi hapa ninapoitumia wame upgrade hadi 8mbps, hata ukitaka 30mbps na zaidi hela yako tu.

4g za mitandao yote uliotaja hapo juu nimetumia, sijatumia fiber zao ila hio mitandao ikikazana ni 10ms ambayo imepitwa mara 5 na simbanet, kama una speed nzuri zaidi tuma mkuu, hii ni Technology hakuna maana kubishana kwa maneno.
Mkuu.
Kama hutajali, unaweza kuniwekea gharama za hao simba net kwa 1m/s, 2m/s kwa mwezi?
 
Last time nimewaaproach this year waliniambia wanaweza kunicharge USD$100 per 1mbps ila itadepand na ninachukua mpbs ngapi ila waliniguarantee kuanzia 10mbps watanipa kaw hiyo bei
Mfano nakaa sehemu ambayo hao Simba Net hawajafika. Ila nataka wanipe internet ambayo nitaifanya iwe wifi nyumbani na ofisini kwangu? Kwa package hiyohiyo na bei hiyohiyo?
 
Mfano nakaa sehemu ambayo hao Simba Net hawajafika. Ila nataka wanipe internet ambayo nitaifanya iwe wifi nyumbani na ofisini kwangu? Kwa package hiyohiyo na bei hiyohiyo?
Mkuu.
Kama hutajali, unaweza kuniwekea gharama za hao simba net kwa 1m/s, 2m/s kwa mwezi?
hii package ni dola 2000 wameeka, ni net ya maofisi makubwa sio rahisi mtumiaji wa kawaida kumudu.

naona zuku wana fiber za nyumbani 90,000 maeneo ya penisula ya msasani hadi kinondoni kama upo maeneo hayo wacheki ni kama 90,000 kwa mwezi unapata internet na chanell 61 za Tv.
 
Simba hawana package ya watu bianfsi?
 
Back
Top Bottom